Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 17,119
- 32,195
Mnaweza kuongea kwa simu ukakataa kuonana kwa kuogopa kutekwa.Ukiona mtu mmeongea ila ukiomba kukutana naye hataki shituka
Ingawa kutoa namba yako pia unarahisisha kutekwa.
Mnaweza kuongea kwa simu ukakataa kuonana kwa kuogopa kutekwa.Ukiona mtu mmeongea ila ukiomba kukutana naye hataki shituka
Labda amelala na njaa!😁😁 Yaani mtu unawahi mapema yote hii kuanzisha uzi wa uwongo
Hahaha 😂.Labda amelala na njaa!
Nani akuteke mkuu,yaani utekwe kivipi,ila kuwa makini na mabandiko wakoMnaweza kuongea kwa simu ukakataa kuonana kwa kuogopa kutekwa.
Ingawa kutoa namba yako pia unarahisisha kutekwa.
Aamke sasa anywe chaiLabda amelala na njaa!
Nimelazimisha kumwelewa nikashindwa ikabidi nikubali tu kwamba amejua mzee wake anayo I'd ya kike jamiiforum 😊Mimi bado najaribu kuelewa huo mchakato wote uliopitia nashindwa
Nimefunga mdomo wangu mkuu 😂.Huyo mzee bila shaka ndio Binti wa zamani
Mzee mmoja alinipa simu yake ili nimsaidie kuset kitu fulani. Nikakuta app ya JF kwenye simu yake 😯.
Shetani aliniingia nikajisema, ngoja nijionee ID yake.
Nilizama kwenye jukwaa nikaji-tag, kisha nikachukua simu yangu nika-screenshot kisha nikafuta ile post kwenye simu yake ili asijue kama niliingilia JF Kwa account yake.
Dah! yule Mzee ana ID maarufu ya kike 😭😭😭.
Baba yenu nilichoka 🙌.
Nilishawahi kumtongoza.Kwa hiyo anapigwa sound
BreakfastMimi bado najaribu kuelewa huo mchakato wote uliopitia nashindwa
Na-assume unasema ukweli..... kuna ubaya gani wa mzee kuwa na ID ya kike? Tena huyo ni wa kusifiwa kweli kweli. Tanzania hapa tulipo sasa hivi mtu unahitaji kila mbinu ili upoteze maboya ''wasiojulikana'' wanaojulikana. Nadhani umeshasikia kilichowapata kina Denis Kipanya, Sativa etc. Na siyo siasa tu. Pengine anatumia hiyo ID ili afanye uchunguzi anaokusudia au kufanikisha lolote analotaka kilifanya. Na kingine: ulijuaje ni ID yake? engine kuna mtu ametumia simu yake na yeye hajui, hasa unaposema kuwa amekupa simu yake u-set kitu fulani. Inaonekana siyo mjuzi wa simu na huenda kuna mtu anaitumia hiyo ID bila yeye kujua.Bado sijajua, ila itabidi nimfuatilie.
Nyambafu sana yule mzee.
Hiyo tahadhari inaonesha unajua Kuna kutekana sababu ya ukosoaji.Nani akuteke mkuu,yaani utekwe kivipi,ila kuwa makini na mabandiko wako
Ok, nimekuelewa mkuu.Na-assume unasema ukweli..... kuna ubaya gani wa mzee kuwa na ID ya kike? Tena huyo ni wa kusifiwa kweli kweli. Tanzania hapa tulipo sasa hivi mtu unahitaji kila mbinu ili upoteze maboya ''wasiojulikana'' wanaojulikana. Nadhani umeshasikia kilichowapata kina Denis Kipanya, Sativa etc. Na siyo siasa tu. Pengine anatumia hiyo ID ili afanye uchunguzi anaokusudia au kufanikisha lolote analotaka kilifanya. Na kingine: ulijuaje ni ID yake? engine kuna mtu ametumia simu yake na yeye hajui, hasa unaposema kuwa amekupa simu yake u-set kitu fulani. Inaonekana siyo mjuzi wa simu na huenda kuna mtu anaitumia hiyo ID bila yeye kujua.