Mwana-JF usisahau kulog out kwenye akaunti yako ukishamaliza shughuli zako humu

 
Bado sijajua, ila itabidi nimfuatilie.

Nyambafu sana yule mzee.
Na-assume unasema ukweli..... kuna ubaya gani wa mzee kuwa na ID ya kike? Tena huyo ni wa kusifiwa kweli kweli. Tanzania hapa tulipo sasa hivi mtu unahitaji kila mbinu ili upoteze maboya ''wasiojulikana'' wanaojulikana. Nadhani umeshasikia kilichowapata kina Denis Kipanya, Sativa etc. Na siyo siasa tu. Pengine anatumia hiyo ID ili afanye uchunguzi anaokusudia au kufanikisha lolote analotaka kilifanya. Na kingine: ulijuaje ni ID yake? engine kuna mtu ametumia simu yake na yeye hajui, hasa unaposema kuwa amekupa simu yake u-set kitu fulani. Inaonekana siyo mjuzi wa simu na huenda kuna mtu anaitumia hiyo ID bila yeye kujua.
 
Nani akuteke mkuu,yaani utekwe kivipi,ila kuwa makini na mabandiko wako
Hiyo tahadhari inaonesha unajua Kuna kutekana sababu ya ukosoaji.
Nashukuru kwa ushauri.
Mimi nimeshauri kwa hekima siku zote.
Sihamasishi maandamano ila nakemea uovu bila kificho. Wakiniuwa au kunifunga sawa.
Siwezi kukaa kimya nikiona uovu mkubwa na mauwaji vikifanyika.
Kesho inaweza kuwa mimi au watoto wangu au ndugu zangu wengine nisipokemea au kushauri.
 
Kuna watu wengi humu kipindi najiunga jf nlikuwa nawakubali sana na kuamini Wana nondo nyingi za maisha na harakati mbalimbali,ila siku zinavyozidi kwenda mnazidi kunichanganya hasa kuhusu utambulisho wenu kama ni straight,guys, lesbians au gender fluid? Ukiwemo mtoa post mwenyewe 😐😐
 
Ok, nimekuelewa mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…