Mwana JF yupi unamkubali sana na kwanini unamkubali?

Mwana JF yupi unamkubali sana na kwanini unamkubali?

members wafuatao mi nadhani wapo unique wana leta burudani humu

jukwaa la siasa : paskalli , retired , mwiffa , cocochanel na salary slip
Intelligensia:Malcolm lumumba na the bold da vinci
jukwaa la ushirikina : mshana
na MMU ; Gudume + member wote
 
Msomee tu. Huyo kanigandisha mi nasubiri tiketi ya kwenda kuuza figo tiketi yangu anayo yeye.
hahaaaaaa " mate umenichekesha"" sana" hivi" kumbe " bado hajakupa" Daaahh itakuwa nimpishi wa sumu huyu ndugu yetu maana sio kwa roho mbaya hiyo
Wick
 
Back
Top Bottom