Mwana JF yupi unamkubali sana na kwanini unamkubali?

[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nyie wanaume nani huyoo..kauvagaa wa madame B!!
Pugiii!
Acha tu... nimevurugwa.
Umbea unatembea mpaka unamfikia mlengwa.
Chaaaaaaa!!!!!
 
Kitu gaaniii la muhim mtaje jina tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jina nitataja....kwani namuogopa mie.
Ohhh mie nalipwa M.1 mshahara, nakaa kwenye ghorofa sijui blah blah kibao.
Wenye pesa wanajulikana babu weeeee
Kwanza M.1 ni pesa au chenchi?
Huyu siku ipo....atauvagaa wakati niko mwezi mchanga
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ndo maana nakupendaga
 
Sifa hizo za Max umezijuaje mkuu?
Una mfaham nje ya JF?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…