Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Vijana wa siku hizi mnapenda league na wakubwa wenuNilikuwa nafanya Application ya kazi ya Udereva wa DC wa Kisarawe huku nikiendelea kuperuzi kimya kimya..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vijana wa siku hizi mnapenda league na wakubwa wenuNilikuwa nafanya Application ya kazi ya Udereva wa DC wa Kisarawe huku nikiendelea kuperuzi kimya kimya..
😲😲😲 Mkuu basi nitumie wewe...Sijapata kabisa ujumbe
Shauri yao wataumiaa!!!Vijana wa siku hizi mnapenda league na wakubwa wenu
Aisee mwenyewe nimeomba, tuombeane kheri, ukipata powa nikipata mimi powaNilikuwa nafanya Application ya kazi ya Udereva wa DC wa Kisarawe huku nikiendelea kuperuzi kimya kimya..
Kwani nani mdogo?Vijana wa siku hizi mnapenda league na wakubwa wenu
Duuuuh naona "udereva" umewashitua watu. Dereva kazi yake kuendesha sawasawaWewe unataka udereva tu au kuna mengine unamendea?
Ukipelekeshwa kona za Kazimzumbwi utaziweza?
MnajijuaKwani nani mdogo?
Kazi kaziniii/wali nazi makorora
Looo! Na uzee huu!Mnajijua
Wewe mzee wa umri sio kimaisha.Looo! Na uzee huu!
Sijui unafananisha na naniWewe mzee wa umri sio kimaisha.
Kuna aina nyingi za kufaidi vitu vizuri, kwa macho pia inatosha..Wewe unataka udereva tu au kuna mengine unamendea?
Ukipelekeshwa kona za Kazimzumbwi utaziweza?
Hahaha, kwa macho unafuatilia hata instagram mbona?Kuna aina nyingi za kufaidi vitu vizuri, kwa macho pia inatosha..
Wengine wanataka kuendesha vingi, na kutia gia zao pengi.Duuuuh naona "udereva" umewashitua watu. Dereva kazi yake kuendesha sawasawa
Hahahaha....watu mnapenda ubuyu.Taja hata initials za jina
HahahahahahTunapenda kusuta na kusutwa pia
We nidanganye tuHatustuwi madam nshafika PM naomba uje
Hahaahaha....eti unamuhisi.Uwiii. Nani huyo?? Kama namuhisi. Inawezekana ila wenye uwezo wa kuninyweshwa humu ni watatu tuu na wanajijua
Ha..!msg yangu hujapata kaahWe nidanganye tu