Mwana JF yupi unamkubali sana na kwanini unamkubali?

Mwana JF yupi unamkubali sana na kwanini unamkubali?

dah nawaelewa watu kibao humu ndani pamoja na deo KISANDU,kwakuwa mama yangu alikuwa akimsifia kuwa ni mwanaharakati sana, nimesoma nyuzi zake, nimekubali.(wakubwa hawakosei)

mwanaharakati wa haki ya kugegeda

wenzake wanaenda jela kwa mambo mazito yeye alienda kwa kudai haki ya kugegeda utazani watu waliuchukua mgegedeo wake vile
 
members wafuatao mi nadhani wapo unique wana leta burudani humu

jukwaa la siasa : paskalli , retired , mwiffa , cocochanel na salary slip
Intelligensia:Malcolm lumumba na the bold da vinci
jukwaa la ushirikina : mshana
na MMU ; Gudume + member wote
Loh jukwaa la ushirikina [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Namkubali Mshana jr kwa sababu ni mtu anayenijua nje ndani kuanzia Jf mpaka ndani kabisa bila nguo.
say-what-63943.gif

Hebuu njoo tutetee Demiss
 
Back
Top Bottom