Mwana JF yupi unamkubali sana na kwanini unamkubali?

Mwana JF yupi unamkubali sana na kwanini unamkubali?

hahaa kuna mmoja ana majina matatu nimemuona hapo!..
Me nashukuru michango yako huwa inanisaidia sana pamoja na vitabu vyako!.. List yako ni yangu kasoro kwangu wanaongezeka
hearly mchawi/nuksi/MD/CwK
Mzigua90
Demiss
Shunie
Kasie
Prof
Kiranga
Hawa watu nikiwasoma huwa napata kitu!. Kuna HR666 naona siku hizi hayupo online naye alikuwa na pumba za kuniongeza siku za kuishi.
Mm bhn huwa nataman nikuzingue ila naona kama mhenga naishia kuona aibu tuu
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji85] [emoji125] [emoji85] [emoji125] [emoji85] [emoji13] [emoji121] [emoji121] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1]
 
Na wewe ukiingia jf unafatilia Demiss kaandika nini nyauuuu wewe utaharaaaa sana mwaka huuu
Mada inataka mchangiaje ataje member anayemkubali kutokana na mchango wake wa elimu na kimawazo,wewe unatuletea eti unamkubali huyo coz anakujua nje ndani,mara sijui bila nguo!! soma maudhui ya mada acha kuharibu thd za watu kwa kuwaza ujinga kila time,

Hapo kwenye red ina ashiria kua dawa imeanza kukuingia,sasa tulia hivyo hivyo ili nimalize dozi,utapona tu.
 
Last edited:
Shukrani mkali mwenzangu Genius anaepiga miguu yote kama Fabregas...the man himself Da'Vinci mwenye macodes yake ya encrypted cryptographic kagonokasibility...Ahahaha!

Thanks bro! [emoji23]
Encrypted! Umenikumbusha kitabu cha The Da' Vinci Code by Dan Brown mkuu, kuna codes za kutosha
 
Eeeh. Kuna mmoja nilishaambiwa alishawahi niongelea nikahisi atakua huyo maana najua yeye ndo zake kweli japo haongei kwa ubaya
Yap....itakuwa.
Yaani ni ile, flani yupoje, nje ya jf pia yupo hivi na blah blah kibao, vp anatongozeka....chaaaaaa!!!!🙁🙁
Mie nabaki kushangaa.
Ila wanaume wengi wa humu tukikutana nao ni kuulizia flan na flan wapoje
 
Eti anatongozeka. Kutongozwa na kukubali si inategemea mtu anakuchukuliaje au wanataka kujua wale wanaotongozwa na yeyote poa tu bora katongozwa neno hapana hana mdomoni kwake eeh. Halafu nae aache uoga sasa anaogopa nini kutongoza akila za uso si kawaida tu
 
Hapo sasa.
Mwanaume unaogopaje kutongoza?
Sema sasa ile kuchunguzana ndo majinuni.
Wanapapasa papasa tu
 
Back
Top Bottom