Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,453
Mm bhn huwa nataman nikuzingue ila naona kama mhenga naishia kuona aibu tuuhahaa kuna mmoja ana majina matatu nimemuona hapo!..
Me nashukuru michango yako huwa inanisaidia sana pamoja na vitabu vyako!.. List yako ni yangu kasoro kwangu wanaongezeka
hearly mchawi/nuksi/MD/CwK
Mzigua90
Demiss
Shunie
Kasie
Prof
Kiranga
Hawa watu nikiwasoma huwa napata kitu!. Kuna HR666 naona siku hizi hayupo online naye alikuwa na pumba za kuniongeza siku za kuishi.