Mwana JF yupi unamkubali sana na kwanini unamkubali?

Mwana JF yupi unamkubali sana na kwanini unamkubali?

Shukrani my dear. Nami nakukubali sana na ninapoona nyuzi za kusifia wanawake wastaarabu,wenye hekima humu ukiwa mmoja wao naona mleta mada kautendea haki uzi wake.
Numbisa - Namkubali sababu huwa anamwaga madini sana kule jukwaa la likes, najua hujui kama nakusomaga kimya kimya ila unanikosha jamaani lol.

Uendelee hivyo hivyo mwaya usiwe mchoyo rafiki sababu si habari za zinazohusu Afya, siasa ,watu maarufu na hata michezo weye unatuletea tu.
 
Back
Top Bottom