Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
The inimitable Nyani son of Ngabu.
Haters relax....ok?
Haters relax....ok?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Numbisa - Namkubali sababu huwa anamwaga madini sana kule jukwaa la likes, najua hujui kama nakusomaga kimya kimya ila unanikosha jamaani lol.
Uendelee hivyo hivyo mwaya usiwe mchoyo rafiki sababu si habari za zinazohusu Afya, siasa ,watu maarufu na hata michezo weye unatuletea tu.
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji322] [emoji323] [emoji122] [emoji85] [emoji7] [emoji8]Namkubali Mshana jr kwa sababu ni mtu anayenijua nje ndani kuanzia Jf mpaka ndani kabisa bila nguo.
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Ila Ile mikoba usije ukarithi
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Mshana[emoji106]
[emoji152][emoji152][emoji152][emoji152][emoji152][emoji152]Iyo avata yako jaman
Kwann usimbakeYule dada namuomba mchezo mwezi wa 9 huu
NarithiIla Ile mikoba usije ukarithi
[emoji23][emoji23][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji322] [emoji323] [emoji122] [emoji85] [emoji7] [emoji8]
Nitaje basi na mm khaaaaaWapo wengi ninaowakubali.
Wengine tunafahamiana physically nje ya JF na wengine kwa hichi kivuli cha majina yetu.
Mungu awabariki sana!!
Nimeamua nijumuishe maana kutaja mmoja mmoja sio kazi rahisi.Nitaje basi na mm khaaaaa
HalooooooNamkubali Mshana jr kwa sababu ni mtu anayenijua nje ndani kuanzia Jf mpaka ndani kabisa bila nguo.