Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,453
Ahhahahhaha Mama sabrina jaman [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Humble acha kumpiku mshana maneno yako haya unaweza shangaa kaka yangu akapigwa kibuti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahhahahhaha Mama sabrina jaman [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Humble acha kumpiku mshana maneno yako haya unaweza shangaa kaka yangu akapigwa kibuti
Mama la mamaAhhahahhaha Mama sabrina jaman [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakuja dom mwezi ujao ntakutafuta!..Uje nianzishia uzi sasa, nanunua tunguri zote za engineer wako nakutupia!.Hahaha siyo kweli
Nakupenda miaka miaaa karibu nipo msataMama la mama
Hahahaha aisee nipo Msata kama unaweza njooNakuja dom mwezi ujao ntakutafuta!..Uje nianzishia uzi sasa, nanunua tunguri zote za engineer wako nakutupia!.
kilingeni kabisa ili mnishughulikie vizuri..[emoji23]Hahahaha aisee nipo Msata kama unaweza njoo
aaaaaaah hapana haiwez tokeakilingeni kabisa ili mnishughulikie vizuri..[emoji23]
Dah! We jamaa wewe! Yaani unanikubali huku nami nikikukubali zaidi! More interesting; mada pendwa kwako, ndo zilezile pendwa kwangu!Ahsante sana mdogo wangu hata mimi nathamini sana sanaa michango yako hapa jukwaaani.
Binafsi nawakubali wanajukwaaa wote humu, japo kuna watu ambao huwa napenda sana kusoma michango yao:
Ndugu yangu FisadiKuu
chige ,
JokaKuu ,
Wick /Palantir/Indundu
zitto junior ,
Zitto ,
Pascal Mayalla ,
whitehorse ,
charty ,
espy ,
Heaven Sent .
Da'Vinci ,
Son of Gamba ,
mitale na midimu ,
Consigliere ,
Red Giant ,
britanicca ,
GuDume
Prof ,
hearly
NB: Hawa ni wachache tu
Kusikia kilingeni kanipita na like shwaa!!..aaaaaaah hapana haiwez tokea
Hahaha anakuhakikishia uwepo wangu msataKusikia kilingeni kanipita na like shwaa!!..
And I should acknowledge that; a writing style ya kutumia shorter paragraphs niliikwiba kwako!!chige,
..asante kwa posting yako hapo juu.
..aina ya uandishi ninaotumia " nimekwiba " kwa wanaJF anaitwa DAR si LAMU.
..nimekuwa nikifaidika sana na michango yako.
..ndiyo maana mara kwa mara nimekuwa nikiku-tag ktk thread mbalimbali.
😛😛😛😛 Ila mimi Paragraphs naandika aiseee khaaaa!And I should acknowledge that; a writing style ya kutumia shorter paragraphs niliikwiba kwako!!
Back in the days nilikuwa naandika kama anavyoandika Malcom Lumumba... long paragraphs!
Ungeziona posts zangu za zamani wewe! Dadeki, mtu wakati wa kunisoma akiwa na kichwa kibovu; anaweza kupotea within a paragraph halafu asijue aliyokuwa anasoma ni para ya juu, ya chini yake au ndo hiyo hiyo anayoikodolea macho!😛😛😛😛 Ila mimi Paragraphs naandika aiseee khaaaa!
Ngoja nikwibe uandishi wa Jokakuu
Haahhaha umechelewa mi nasepa leoNakupenda miaka miaaa karibu nipo msata
Hahahahah aiseee katika vitu mm mvivu ni kutype japo nikiamua kuandika loooh naweza andika mpaka basi tatizo watu wavivu kusoma ndo maana huwa nafanya ufupisho tuendane nao sawaUngeziona posts zangu za zamani wewe! Dadeki, mtu wakati wa kunisoma akiwa na kichwa kibovu; anaweza kupotea within a paragraph halafu asijue aliyokuwa anasoma ni para ya juu, ya chini yake au ndo hiyo hiyo anayoikodolea macho!
Mi nadhani wengine tumejaaliwa kipawa cha kuandika! Once you click a single key on the keyboard, maneno yana-flow tu on their own... ukija kushituka; umejaza ma-page!
Nina hilo tatizo hadi kesho! Hapa nilipo nina kipolo cha zitto junior kwenye thread ya Nyani Ngabu!
As usual, baada ya kugusa tu keyboard... vidole vikaanza kutiririka tu; kuja kushituka, Hamad! Napeleka kwenye MS Word ili kujua words count, nakuta nimegonga kwenye 1456 words halafu vidole bado vina genye ya kuendelea kutiririka!
Hapa nilipo nipo kwenye kibarua cha kuifupisha na kuipangilia ili ku-meet "JF Standard!" Standard ya wavivu wa kusoma!
Tena eh! Leo hapa nimetoa siri yangu!
Ukiona nachelewa kujibu post tu; jua kama ni kuandika, nishaandika zamani lakini words count ipo kwenye 6589 halafu naona duh!! Hii sasa too much!!
Afu Mungu bhana, anaacha kutupa vipaji vya akina Diamond Platnumz, ingekuwa tunawatafuna tu hivi sasa akina Demiss, kiulainii bila kuhitaji msaada wa akina Mwifwa!! Kinyume chake, tunashushiwa zigo ambalo hata totoz wenyewe linawaboa; aaaaaaargh!!
Respect sana mkuu chige hata mimi nazikubali sana nondo zako kwenye jukwaa la buradani. Tuombe Mungu kuna siku tunaweza shauriana kwenye hii tasnia ya muziki.Dah! We jamaa wewe! Yaani unanikubali huku nami nikikukubali zaidi! More interesting; mada pendwa kwako, ndo zilezile pendwa kwangu!
Much respect man...
Kwenye hili kundi namwacha vp JokaKuu with his straight to the point writing style... very short but clear, sio kama akina sie ambao utadhani tulizaliwa tumekumbatia keyboard! Dah, been here with JK for so long!
Hapa kuna zitto junior, Wick, joseph1989 ambae huwa nakutana nae kule Celebrities pamoja na magnifico!
Special respect to CHIEF MKWAWA! Lile jukwaa lake pendwa huwa naenda kwa msimu but the moment you contact him; he will rush to your issue as if you been constantly interacting with him!
Hahaa! Braza pascal Mayallah with his sarcasm style!! Halafu unamwacha vp Kiranga na hoja zake zisizopindapinda kwamba hakuna Mungu huku akiwa tayari ku-argue na group against one!
The list is too long...