Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Bailey Ennis mwenye umri wa miaka 24 alitamani kupata mtoto lakini hakuwa kwenye mahusiano. Alitafuta kwenye interest na kupata sperm donor anaeuza kit ya sperm.
Pamoja na gharama za post kit moja ni £25. Bailey alifanikiwa kutunga ujauzito October 2021 na sasa ni mama mpya baada ya kujifungua July mwaka huu.