IRGC inasikiliza order ya Ayatollah tu ndio maana rais alisema hatutoshambulia majirani kamanda wa IRGC akaipinga hyo kauli hila hao wengine wanaweza kumsikiliza rais kwahyo miundo yao tofauti.Kajifunze upya hakuna Jeshi linalojitegemea huko Iran.
Nimeamini huko Masjid Masheike-Ubwabwa yanawadanganya sana
Kupinga huko kunatokana na kukosekana kwa chain-Command katika IRGC wala si vinginevyo!!IRGC inasikiliza order ya Ayatollah tu ndio maana rais alisema hatutoshambulia majirani kamanda wa IRGC akaipinga hyo kauli hila hao wengine wanaweza kumsikiliza rais kwahyo miundo yao tofauti.