Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Huyo ni mtoto wa mfalme wa Iran aliyepinduliwa na kina Ayatollah kupitia mapinduzi mwaka 1979 hivyo hawezi kuishi Iran chini ya kina Ayatollah!Huyo lazima atakua ni wale Wairan waliokimbia utawala wa mahayatollah na cha ajabu eti na wenyewe hawataki kukaa Iran ila wanapenda kuishi kwenye nchi za wazungu. Bure kabisa.