Uchaguzi 2020 Mwana wa kulitafuta Lijualikali kalipata, baada ya kuangukia pua Ubunge ajaribu udiwani na kuambulia kura 5. Adaiwa kutamani kurudi CHADEMA

Kuhama kwake sikuona tatzo ila maneno ya kuropoka yalkua mengi mno, kiuanaume haikukaa poa sana. Tujifunze kuwa na kaba wanaume. Hujui kesho yako
Na yule Mataga Silinde wamemnyoa Wajumbe wa Tunduma.
 
Nilipokuwa mdogo sikuelewa usemi wa wakubwa kwamba "mjumbe hauawi" sasa ndio nimekuja kuelewa kumbe maana yake ni kwamba wajumbe wenyewe ndio wauaji. Hahahhaa.
Asikate tamaa abaki huko huko kujenga chama adi 2025 anaweza kurudi tena mjengoni.
 
Huyu Lijualikali si ndiye aliyesababisha TAKUKURU wakachunguze matumizi ya fedha za makato ya posho/ mishahara ya Wabunge kwa ajili ya shughuli za Chadema?
Hivi TAKUKURU walishatoa matokeo ya uchunguzi wa matumizi mabaya ya fedha wabunge wa Chedema?
Hahahahaha waitoe wapi,hiyo taarifa waelewa walijua mapema pale takokulu waliingia chaka!
 
Kama huyo ni mmoja wa walio saliti nguvu za wapiga kura wake pale kilombero, cheki alivyo anguka na kuzimia
Kuna mtu alionya kuhusu Karma humu,kuhusiana na hii hamahama,mtu unaondoka kwa dharau wakati watu walikupigania kwa Jasho na Damu! Unadhani utabaki salama
 
Huyo ndiyo aliye anguka leo na kuzimia pale kilombero
 
Huyo hapo mpeni pole mh LIJUALIKALI mjanja wa mjini kilombero
Yale maneno aliyotapika,anataka kurudi tena Chadema ?Angebaki Chadema tu na huenda angeshinda hilo jimbo tena. Tamaa mbaya.
 
Si wanasema siasa haina adui wa kudumu., apokelewe na apewe ridhaa ya kupeperusha bendera ya chama
 
Bwege tu yule .Hana ujanja wala usmart wowote wa kuishi mjini libaki tu huko Kikwavila na Siginali..dadek zake
Hawa wanakuja cdm watu wanawaona
Yule mwenzake alipokuja cdm hata kuchana nywele alikuwa hachani muafro huo kutwa kuvaa sendles
Chama kimembeba hadi kumlipia Ada lkn eti Mwishowe wanaleta dharau
Wangeondoka kimya kimya tu

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
BADO. Anatakiwa kwanza apate fundisho.
 
Mbinguni tutaenda kuhesabiwa tuu ila mambo mengine yoote ni hapahapa.

amelipwa sawasawa na matendo yake ng'ombe huyoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hili ni zaidi ya funzo kwa lijuakali na viongozi wengine wa type yake

Lijuakali aliondoka kwa matusi na kejeli za kila aina na akajua kwmb ccm wao ni wajinga kiasi hicho ona aibu anazo pata sasa

Akatia nia ubunge kuptia ccm akapata kura 5 akasema ccm nyie msinitanie me ni mtoto wa mjini lazima niwe kiongozi wenu tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Akachukua fomu udiwani akatia nia kura za maoni zmefika wajumbe wamemjaza upepo wako nae na akajaa wakaanza safari kugeuka nyuma hakuna mtu kapata kura 2 kwenye udiwani nako[emoji848][emoji848][emoji848]

Sasa wenyekiti wa mtaa ungemfaa lkn sio muda sahihi akagombee ata uenyekiti katka ukoo wanaweza kumuamini
Ijue nguvu ya wajumbe
 
Nakumbuka Sana...Sasa hivi wanashinda kwa visuti vyao vya mariedo wanatuchukulia mapeasant
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…