johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kila anayetoa hiyo kauli ni KICHAA. Uchaguzi ulikuwa huru na wa haki, wapinzani baadhi walisusia. Na ni unafiki kusema eti ni wa mabavu wakti sisi CCM tuna dola na dola lazima tuitumiw kubaki madarakani na hata akija mpinzani lazima atatumia dola. Sasa kauli za kijinga namna hii ni za watu vichaa wanaotaka kuuaminisha ulimwengu eti CCM huwa tunaiba kura, tena ningekuwa mwenyekiti kila anayetoa kauli ya aina hii angeshugulikiwa ikiwemo kumfukiza uanachama.Mjadala wa Tume Huru ya Uchaguzi umepamba moto Wakati Sheria imeshapitishwa yaani tunafunga Zizi la ng'ombe Saa 4 asubuhi
Ingekuwa vema wale walioshuhudia kivumbi Cha Uchaguzi mkuu wa 2015 watujuze CCM ilipaswa kutumia mbinu gani 2019 kwenye Uchaguzi wa Serikali za mitaa na Uchaguzi mkuu wa 2020 Ili kujipatia ushindi mnono
Wanaccm karibuni zaidi 😄
Unaonesha usivyo na uwezo wa akili hadi unalitumia neno "kichaa" kujitetea.Unajipaka puu ili uogopwe na usisogelewe?Kila anayetoa hiyo kauli ni KICHAA. Uchaguzi ulikuwa huru na wa haki, wapinzani baadhi walisusia. Na ni unafiki kusema eti ni wa mabavu wakti sisi CCM tuna dola na dola lazima tuitumiw kubaki madarakani na hata akija mpinzani lazima atatumia dola. Sasa kauli za kijinga namna hii ni za watu vichaa wanaotaka kuuaminisha ulimwengu eti CCM huwa tunaiba kura, tena ningekuwa mwenyekiti kila anayetoa kauli ya aina hii angeshugulikiwa ikiwemo kumfukiza uanachama.
We ni kichaa zaidi, ipende nchi yako kwanzaKila anayetoa hiyo kauli ni KICHAA. Uchaguzi ulikuwa huru na wa haki, wapinzani baadhi walisusia. Na ni unafiki kusema eti ni wa mabavu wakti sisi CCM tuna dola na dola lazima tuitumiw kubaki madarakani na hata akija mpinzani lazima atatumia dola. Sasa kauli za kijinga namna hii ni za watu vichaa wanaotaka kuuaminisha ulimwengu eti CCM huwa tunaiba kura, tena ningekuwa mwenyekiti kila anayetoa kauli ya aina hii angeshugulikiwa ikiwemo kumfukiza uanachama.
Mwendawazimu kama huyo hawezi kuwa na uchungu na nchi akeUnaonesha usivyo na uwezo wa akili hadi unalitumia neno "kichaa" kujitetea.Unajipaka puu ili uogopwe na usisogelewe?
CCM hawajawahi kushinda uchaguzi, huwa wanapora na Wanajua SanaMjadala wa Tume Huru ya Uchaguzi umepamba moto Wakati Sheria imeshapitishwa yaani tunafunga Zizi la ng'ombe Saa 4 asubuhi
Ingekuwa vema wale walioshuhudia kivumbi Cha Uchaguzi mkuu wa 2015 watujuze CCM ilipaswa kutumia mbinu gani 2019 kwenye Uchaguzi wa Serikali za mitaa na Uchaguzi mkuu wa 2020 Ili kujipatia ushindi mnono
Wanaccm karibuni zaidi 😄
Huwa anacheza na upepo, wakimlipa posho anawateteaHivi Yohana wewe sio mwanasisiemu?
😆😆Huwa anacheza na upepo, wakimlipa posho anawatetea
We ni m5*ng3 kupindukia. Na hii ndo aina ya watanzania tulio nao kwenye huu muungano wa CCM na Zanzibar.Kila anayetoa hiyo kauli ni KICHAA. Uchaguzi ulikuwa huru na wa haki, wapinzani baadhi walisusia. Na ni unafiki kusema eti ni wa mabavu wakti sisi CCM tuna dola na dola lazima tuitumiw kubaki madarakani na hata akija mpinzani lazima atatumia dola. Sasa kauli za kijinga namna hii ni za watu vichaa wanaotaka kuuaminisha ulimwengu eti CCM huwa tunaiba kura, tena ningekuwa mwenyekiti kila anayetoa kauli ya aina hii angeshugulikiwa ikiwemo kumfukiza uanachama.
Ni Mwanaccm asiliaHivi Yohana wewe sio mwanasisiemu?
Safari hii Lisu na Uenyekiti tu kama vipi mtagawana MbaoHuwa anacheza na upepo, wakimlipa posho anawatetea
Wajinga mnazidi kuongezeka Kama Makamu Mwenyekiti wa ccm anakiri Hadharani kuwa Yaliyotokea kwenye Chaguzi zile hayatajirudia tena wewe ni nani utupe lawama kw Wapinzani Nchi hii Wajinga mpo wengi sanaKila anayetoa hiyo kauli ni KICHAA. Uchaguzi ulikuwa huru na wa haki, wapinzani baadhi walisusia. Na ni unafiki kusema eti ni wa mabavu wakti sisi CCM tuna dola na dola lazima tuitumiw kubaki madarakani na hata akija mpinzani lazima atatumia dola. Sasa kauli za kijinga namna hii ni za watu vichaa wanaotaka kuuaminisha ulimwengu eti CCM huwa tunaiba kura, tena ningekuwa mwenyekiti kila anayetoa kauli ya aina hii angeshugulikiwa ikiwemo kumfukiza uanachama.
Wewe umenielewa japo mwisho umekosea. Nilichomaanisha CCM tukikiri kuwa uchaguzi wa 2019 na 2020 ulikuwa wa mabavu maana yake tuliiba kura, tulidhulumu wapiga kura hivyo chama mfu chadema walishinda chaguzi zote ndiyo wanaostahili kuwa na rais mpaka sasa. Je yafanyike maandamano ya kuipindua serikali ya Dkt Samia kwa sababu tunakiri kuiba kura????? Ndiyo maana nasema ni VICHAA kwa sababu jumuiya ya kimataifa tuliiambia uchaguzi ulikuwa huru na wa haki.Wajinga mnazidi kuongezeka Kama Makamu Mwenyekiti wa ccm anakiri Hadharani kuwa Yaliyotokea kwenye Chaguzi zile hayatajirudia tena wewe ni nani utupe lawama kw Wapinzani Nchi hii Wajinga mpo wengi sana
Basi ccm ni vichaa hawafai kuongoza nchi maana ndo wanaoisema hiyo kauliKila anayetoa hiyo kauli ni KICHAA. Uchaguzi ulikuwa huru na wa haki, wapinzani baadhi walisusia. Na ni unafiki kusema eti ni wa mabavu wakti sisi CCM tuna dola na dola lazima tuitumiw kubaki madarakani na hata akija mpinzani lazima atatumia dola. Sasa kauli za kijinga namna hii ni za watu vichaa wanaotaka kuuaminisha ulimwengu eti CCM huwa tunaiba kura, tena ningekuwa mwenyekiti kila anayetoa kauli ya aina hii angeshugulikiwa ikiwemo kumfukiza uanachama.
Yes, 2020 ni viongozi hawa hawa walisema uchaguzi ulikuwa fair. Wanapokili madhara yake ni makubwa sanaBasi ccm ni vichaa hawafai kuongoza nchi maana ndo wanaoisema hiyo kauli
Ukisikia ujinga ndio huu, unasema mnamiliki Dola, hivyo lazima muitumie kubaki madarakani, wakati huo huo unasema uchaguzi ulikuwa huru na haki!Kila anayetoa hiyo kauli ni KICHAA. Uchaguzi ulikuwa huru na wa haki, wapinzani baadhi walisusia. Na ni unafiki kusema eti ni wa mabavu wakti sisi CCM tuna dola na dola lazima tuitumiw kubaki madarakani na hata akija mpinzani lazima atatumia dola. Sasa kauli za kijinga namna hii ni za watu vichaa wanaotaka kuuaminisha ulimwengu eti CCM huwa tunaiba kura, tena ningekuwa mwenyekiti kila anayetoa kauli ya aina hii angeshugulikiwa ikiwemo kumfukiza uanachama.
Yaani nyie hata msipokiri inafahamika mlipora uchaguzi, au unadhani hiyo jumuiya ya kimataifa wao ni wajinga hawajui kuwa mlipora uchaguzi? Na sio kwamba mlipora uchaguzi ule tu, hiyo ndio tabia yenu maana hamna uwezo wowote wa kushinda kihalali, kwani ccm sio chama Cha kizazi hiki. Uchaguzi wa 2019-20 pale ndio ushenzi wenu wa kukaa madarakani kwa wizi ulidhihirika, maana mlikuwa chini ya kiongozi mpuuzi aliyezipenda siasa wakati siasa hazimpendi.Wewe umenielewa japo mwisho umekosea. Nilichomaanisha CCM tukikiri kuwa uchaguzi wa 2019 na 2020 ulikuwa wa mabavu maana yake tuliiba kura, tulidhulumu wapiga kura hivyo chama mfu chadema walishinda chaguzi zote ndiyo wanaostahili kuwa na rais mpaka sasa. Je yafanyike maandamano ya kuipindua serikali ya Dkt Samia kwa sababu tunakiri kuiba kura????? Ndiyo maana nasema ni VICHAA kwa sababu jumuiya ya kimataifa tuliiambia uchaguzi ulikuwa huru na wa haki.
Kwani ni kosa?Safari hii Lisu na Uenyekiti tu kama vipi mtagawana Mbao