Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Kwani waliposema ndio waliaminika, au mnadhani Bado Kuna wajinga wa kuamini viongozi majizi? Magufuli ndio alikuwa haaminiki kabisa, maana ana historia ya kupika data. Wanakiri Sasa maana wanajua hakuna asiyefahamu upuuzi ule.Yes, 2020 ni viongozi hawa hawa walisema uchaguzi ulikuwa fair. Wanapokili madhara yake ni makubwa sana