Mwanaccm anapokiri Uchaguzi wa TAMISEMI 2019 na Uchaguzi mkuu wa 2020 ulikuwa wa Mabavu atuambie pia Bila Mabavu CCM ingeshindaje!

Mwanaccm anapokiri Uchaguzi wa TAMISEMI 2019 na Uchaguzi mkuu wa 2020 ulikuwa wa Mabavu atuambie pia Bila Mabavu CCM ingeshindaje!

Yes, 2020 ni viongozi hawa hawa walisema uchaguzi ulikuwa fair. Wanapokili madhara yake ni makubwa sana
Kwani waliposema ndio waliaminika, au mnadhani Bado Kuna wajinga wa kuamini viongozi majizi? Magufuli ndio alikuwa haaminiki kabisa, maana ana historia ya kupika data. Wanakiri Sasa maana wanajua hakuna asiyefahamu upuuzi ule.
 
Back
Top Bottom