MwanaCCM asema Kitenge ni comedian wa habari, sio mtu wa kuzungumzia DP World

MwanaCCM asema Kitenge ni comedian wa habari, sio mtu wa kuzungumzia DP World

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191

MwanaCCM akosoa mtumizi ya influencers kwenye mambo serious kama bandari.

Amekosoa matumizi.ya watu kama kina Maulid Kitenge na Steve Nyerere ambao hawana uwezo wa kujenga hoja.
 
Hawajapata akili..zile ela walizokuwa wanapewa UVCcm kusambaza propaganda sasa wanapewa wakina kitenge.
Wana njaa wamepokonywa ugali
 
Back
Top Bottom