Analogia Malenga JF-Expert Member Joined Feb 24, 2012 Posts 5,108 Reaction score 10,191 Jul 18, 2023 #1 Your browser is not able to display this video. MwanaCCM akosoa mtumizi ya influencers kwenye mambo serious kama bandari. Amekosoa matumizi.ya watu kama kina Maulid Kitenge na Steve Nyerere ambao hawana uwezo wa kujenga hoja.
Your browser is not able to display this video. MwanaCCM akosoa mtumizi ya influencers kwenye mambo serious kama bandari. Amekosoa matumizi.ya watu kama kina Maulid Kitenge na Steve Nyerere ambao hawana uwezo wa kujenga hoja.
R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 44,629 Reaction score 83,056 Jul 18, 2023 #2 Analogia Malenga said: View attachment 2692212 Click to expand... Safi sana huyu ni nani?
A August JF-Expert Member Joined Jun 18, 2007 Posts 9,327 Reaction score 5,206 Jul 18, 2023 #3 Analogia Malenga said: View attachment 2692212 MwanaCCM akosoa mtumizi ya influencers kwenye mambo serious kama bandari. Amekosoa matumizi.ya watu kama kina Maulid Kitenge na Steve Nyerere ambao hawana uwezo wa kujenga hoja. Click to expand... Huyu ndio kiongozi sio chawa na anatumia ubongo wake vizuri
Analogia Malenga said: View attachment 2692212 MwanaCCM akosoa mtumizi ya influencers kwenye mambo serious kama bandari. Amekosoa matumizi.ya watu kama kina Maulid Kitenge na Steve Nyerere ambao hawana uwezo wa kujenga hoja. Click to expand... Huyu ndio kiongozi sio chawa na anatumia ubongo wake vizuri
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Jul 18, 2023 #4 August said: Huyu ndio kiongozi sio chawa na anatumia ubongo wake vizuri Click to expand... Wameanza kupata akili
August said: Huyu ndio kiongozi sio chawa na anatumia ubongo wake vizuri Click to expand... Wameanza kupata akili
KingCobra95 JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 3,249 Reaction score 5,863 Jul 18, 2023 #5 Hawajapata akili..zile ela walizokuwa wanapewa UVCcm kusambaza propaganda sasa wanapewa wakina kitenge. Wana njaa wamepokonywa ugali
Hawajapata akili..zile ela walizokuwa wanapewa UVCcm kusambaza propaganda sasa wanapewa wakina kitenge. Wana njaa wamepokonywa ugali