Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Huyu bidada mwanaccm akilalamika uwepo wa Mashoga ndani ya Chama. Kuwa wamezidi kipimo kwa sasa ni wengi. Na haumi umi maneno. Anaongea kwa kujiamini kabisa suala hili ambalo kwa ccm ni la kawaida sana.
View: https://youtu.be/rMmjqy8ZNcU?feature=shared%5B/URL
Hatari sana, wanavuana nguo wenyewe kwa wenyewe.Huyu bidada mwanaccm akilalamika uwepo wa Mashoga ndani ya Chama. Kuwa wamezidi kipimo kwa sasa ni wengi. Na haumi umi maneno. Anaongea kwa kujiamini kabisa suala hili ambalo kwa ccm ni la kawaida sana.
Wangeeanza na ile media pendwa yao maana kule ni kiwanda cha kuzalisha kufadhili ushogaTulivyo kuwa tunasema mashoga wapo CCm mlikuwa mnabisha.
Pdiddy angekuwa ametembelea TZ nahisi yale mafuta yake yangepata balozi CCM
Wachafu Media!Wangeeanza na ile media pendwa yao maana kule ni kiwanda cha kuzalisha kufadhili ushoga
Ova
Hawa wamesikia wakiongelewa!!??Huyu bidada mwanaccm akilalamika uwepo wa Mashoga ndani ya Chama. Kuwa wamezidi kipimo kwa sasa ni wengi. Na haumi umi maneno. Anaongea kwa kujiamini kabisa suala hili ambalo kwa ccm ni la kawaida sana.
Weka na Lucas Mwashambwa
Hapa ndo akili yako ilipoishia?
Mwenyekiti wenu shoga ! Sasa unataka nini?Huyu bidada mwanaccm akilalamika uwepo wa Mashoga ndani ya Chama. Kuwa wamezidi kipimo kwa sasa ni wengi. Na haumi umi maneno. Anaongea kwa kujiamini kabisa suala hili ambalo kwa ccm ni la kawaida sana.
Hii niliionaga muda sanaHuyu bidada mwanaccm akilalamika uwepo wa Mashoga ndani ya Chama. Kuwa wamezidi kipimo kwa sasa ni wengi. Na haumi umi maneno. Anaongea kwa kujiamini kabisa suala hili ambalo kwa ccm ni la kawaida sana.
Hawa wote ni mashoga na pia DC wa Kilosa Shaka Hamdu aliwahi kuolewa kabisa huko Mombasa wakati ule akiwa kiongozi wa uvccm na alifutwa uanachama lakini chura kiziwi akamrudisha.