Huyu bidada mwanaccm akilalamika uwepo wa Mashoga ndani ya Chama. Kuwa wamezidi kipimo kwa sasa ni wengi. Na haumi umi maneno. Anaongea kwa kujiamini kabisa suala hili ambalo kwa ccm ni la kawaida sana.
Lakini ni Msimamo wa Serikali ya Tanzania ambayo ni ya Ccm kuwa mashoga watindwa na Haki zao zitalindwa na watafanya mambo Yao Kwa Uhuru na amani. Hivyo kuwaona kuwa sehemu ya chama kinachounda serikali sio jambo la kushangaza. Kuna wakati hoja hii ilifika bungeni Ili kujadiliwa lakini Spika akaiondoa Kwa sababu ilikua inagusa maslahi ya chama na wanachama wa Ccm ambapo yeye ni mmoja wapo. Kwenye hafla na shughuli mbali mbali za chama hasa matamasha na makongamano makubwa watu Hawa wanaalikwa na hata wakati mwingine kutumbuiza, Haki kadhalika watu wanaojihusisha nao wamekua wakipewa kipaumbele kwenye majukwaa ya serikali na chama vile vile. Haya nayaandika Kwa ushahidi tosha uliona bayana na hayahitaji Rocket science kuyabaini.
Hivyo basi hata ukitazama Kwa makini hivi karibuni Bunge la Umoja wa Ulaya limetoa maazimio kadhaa kuitaka serikali ya Tanzania kuhakikisha kwamba Kuna Uhuru wa kufanya siasa, kutokandamiza wapinzani, kutowakamata na kuwaua wapinzani, kufanya jeshi la polisi kuwa TAWI la chama na mambo mengine ambayo ni bayana Kwa umma, Bunge la Tanzania likaachana na hoja hizo muhimu tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu na kutumia muda na fedha za walipa Kodi kujadili swala la Ushoga kinafiki Ili kuwaaminisha watanzania kuwa Bunge la Ulaya linalazimisha Ushoga, jambo ambalo sio kweli kwani Ushoga upo na utaendelea kuwepo na ni sehemu ya chama tawala na serikali yake imekubali kwalinda.
Maswala ya kukomeshwa wameachama nayo na kugeukia mambo mengine. Tukiachana na siasa, katika jamii yetu tunao hao wanachama wa Ccm ambao ukiacha mambo mengine nao Wana hofu ya Mungu lakini waende wapi? Wanaogopa watoto wao wasiwe mashoga na wasagaji kama watu wanaombatana nao lakini wafanye nini, wakijunga na vyama vingine ama watafilisiwa, watahujumiwa na wakati mwingine kuuawa. Kwa hofu hiyo wanabakia Ccm Kwa kulinda ugali wao mezani na hatma ya maisha Yao.
Hawako Ccm sababu ya Imani Kwa sababu mpaka hivi sasa kizazi Cha Ccm kilichotokana na TANU na ASP, kimepukutika. Kizazi kianchoamini katika ahadi za mwanaccm na kuziishi ni kama hakuna. Tuna kizazi kinachiwaza madaraka fedha na ngono kupitia Ccm.
Nguvu kubwa inayotumika kubakia madarakani sio kwamba Wana wito au karama ya uongozi, la hasha Kwa sababu ilifaa wananchi wavutiwe na uongozi wao Ili wawalazimishe kubakia madarakani.
Kinyume chake sasa wanatumia nguvu ya Dola kulazimisha kuwatawala wananchi. Wale wasiokua tayari kutawaliwa lazima wataonja machungu ikiwemo jela, kufilisiwa au kuawawa.
Damu zinazomwagika katika taifa hili Kwa sababu ya siasa ni matokeo ya Ccm kulazimisha kutawala. Hatuna tena viongozi wenye ujasiri wa kushiriki midahalo na kujibu maswali muhimu yanayohusu wananchi. Tuna kikundi Cha wahuni kianchoamini katika power of the ruler by using state apparatus to earn wealth.
Ukiwa Ccm ukapata connection umekula.
Kama Kuna Waziri maskini katika serikali ya Samia basi huyo ni malaika. Mana hata swala la Cag ni kama upuuzi tu.
Hiyo Ndio kaliba Yao kwa sasa.
Kumbukeni kwamba Ushoga pia unahusishswa ma Imani chafu za kishirikina to earn power hasa kwa wafiraji.