MwanaCHADEMA mwenye nia ya kugombea ubunge 2025 kwenye majimbo yafuatayo ni vyema akaachana na huo mpango. Tayari yana wenyewe

Bila kupoteza muda ninawasihi wanachama wa CHADEMA wenye nia ya kugombea ubunge 2025 kwenye majimbo yafuatayo kuachana na huo mpango kwasababu kuna vigogo washajipitisha kugombea. Kimsingi baadhi yao wameshatamka hadharani kuwa watagombea kupitia hayo majimbo bila kujali mchakato wa katiba ya chama chao kwenye kumpata mgombea. Wakiwa wazima 2025 wafuatao watakuwa wagombea ubunge kupitia CHADEMA kwenye majimbo yao;

1. John Mrema - SEGEREA
2. Boniface Jacob - UBUNGO
3. Freeman Mbowe au mwanae James Mbowe - HAI
4. Lucy Ndesamburo - MOSHI VIJIJINI
5. Henry Kilewo - MWANGA
6. John Pumbulu - NYAMAGANA
7. John Heche - TARIME VIJIJINI
8. Ezekia Wenje - RORYA
9. Patrick Sosopi - ISIMANI
10. Peter Msigwa - IRINGA MJINI
11. Godbless Lema - ARUSHA MJINI
12. Joseph Mbilinyi - MBEYA MJINI

Kama isingekuwa Covid19 kukwaruzana na chama chao hiyo list ingekuwa na majina mengi zaidi. Ninashauri wanaCHADEMA wenye kuutaka ubunge kutafuta hiyo fursa kupitia vyama vingine au kuomba nafasi ya kugombea kwenye majimbo mengine ambayo hayajatekwa na vigogo wasiopenda demokrasia. Waende Ruangwa, Iramba, Ilala, Kilwa, Tunduru.
Tunduru labda Kusini Kwa yule tumbo tumbo Mpakate ila kasikazini wasijaribu wataambulia mabua.
 
Hivi kule Moshi Vijijini kuna mbunge wa CCM kumbe. Mwaka jana nilitembelea sehemu wanapaita Mtakuja, ambapo nilipofika kwa wenyeji wangu nikasikia sijui kuna sehemu inajengwa hospital ya wilaya basi kuna fursa nyingi huko. Kama kijana mwenye njaa ya kudaka fursa inapotokea nikasema isiwe tabu niende huko kuona nini ntaambulia. Si nikawasha kasubaru kangu kwenda kuzurura. Asee ile barabara ya kwenda kule inajengwa hospital ya wilaya nilijisemea moyoni tu, hivi hii njia ndio itapitisha wagonjwa hii, maana hata ng'ombe tu hawastahili kupita njia ile, yaani yale sio mashimo ni mahandaki. Kilometer zaidi ya 12 ni balaa tupu. Nilijuta kupeleka kagari kangu kalikozoea njia za lami za mjini.

Kiukweli kwa hali ile niliyoiona kama mbunge ni wa CCM basi hastahili kuwa hata monitor wa darasa.
 
Hakuna atakaewachagua.Yaani uchague watu ambao watakuja kusababisha Serikali isitoe pesa kisa njaa zao?

Sabaya amesema wazi mkichagua Wapinzani tarajieni wao ndio watoe pesa za Ilani zao ila ccm haiwezi toa pesa kwenye Maeneo ya Wapinzani

Wagonjwa wa akili mpo wengi kumbe! Tangu lini CCMikawa na heka wakati yenyewe inategemea ruzuku inayotokana na kodi za wananchi.
 
Hivi ile Sheria ya Mgombea binafsi iko hewani.

Nafikiria kugombea Urais kama Mgombea binafsi, ikishindikana kabisa nitakuwa pale Chauma na Mzee wangu Rungwe.
 
KARATU>DR SLAA TUNAMSUBIRI KWA HAMU
Dr anakubalika sana Karatu. Mbunge wa sasa ni kilaza balaa... ni mwanaCCM mwenzangu ila hafai kuwa mbunge. Dr Slaa arudi CCM tumpitishe kugombea Karatu.
 
Hakuna atakaewachagua.Yaani uchague watu ambao watakuja kusababisha Serikali isitoe pesa kisa njaa zao?

Sabaya amesema wazi mkichagua Wapinzani tarajieni wao ndio watoe pesa za Ilani zao ila ccm haiwezi toa pesa kwenye Maeneo ya Wapinzani
Kwanini kwenye kulipa kodi TRA wasikusanye kwa wana CCM pekee?

Acheni upuuzi hii nchi sio ya CCM
Hii nchi ni mali ya Watanzania
Ni lini Watanzania tuliwamilikisha CCM nchi yetu?
Huu ujinga mnaoendelea nao nyie "machawa" bado kidogo tutawafundisha maana ya siasa.
 
Bila kupoteza muda ninawasihi wanachama wa CHADEMA wenye nia ya kugombea ubunge 2025 kwenye majimbo yafuatayo kuachana na huo mpango kwasababu kuna vigogo washajipitisha kugombea. Kimsingi baadhi yao wameshatamka hadharani kuwa watagombea kupitia hayo majimbo bila kujali mchakato wa katiba ya chama chao kwenye kumpata mgombea. Wakiwa wazima 2025 wafuatao watakuwa wagombea ubunge kupitia CHADEMA kwenye majimbo yao;

1. John Mrema - SEGEREA
2. Boniface Jacob - UBUNGO
3. Freeman Mbowe au mwanae James Mbowe - HAI
4. Lucy Ndesamburo - MOSHI VIJIJINI
5. Henry Kilewo - MWANGA
6. John Pumbulu - NYAMAGANA
7. John Heche - TARIME VIJIJINI
8. Ezekia Wenje - RORYA
9. Patrick Sosopi - ISIMANI
10. Peter Msigwa - IRINGA MJINI
11. Godbless Lema - ARUSHA MJINI
12. Joseph Mbilinyi - MBEYA MJINI

Kama isingekuwa Covid19 kukwaruzana na chama chao hiyo list ingekuwa na majina mengi zaidi. Ninashauri wanaCHADEMA wenye kuutaka ubunge kutafuta hiyo fursa kupitia vyama vingine au kuomba nafasi ya kugombea kwenye majimbo mengine ambayo hayajatekwa na vigogo wasiopenda demokrasia. Waende Ruangwa, Iramba, Ilala, Kilwa, Tunduru.
Halima Mdee - Kawe.
 
Yeyote yule Atakayekwenda kugombea Mbeya mjini atakuwa anajisumbua tu.maana wanambeya walishakubaliana kwa pamoja kuwa jimbo la Mbeya mjini litaendelea kuwa mikononi mwa Dada wa Taifa na msomi Nguli wa sheria kuwahi kutokea nyanda za juu kusini ambaye ndiye speaker wa Bunge na Rais wa umoja wa mabunge Duniani Mheshimiwa Dkt Tulia Acksoni Mwansasu.

Mbeya mjini imekataa kata kata kumpa kura ya ndio tena Sugu, maana katika miaka yake kumi katika kuongoza jimbo la Mbeya mjini hakuna alichofanya zaidi ya kuzurulantu.hata leo ukimuuliza yeye mwenyewe sugu kuwa alifanya nini hakuna anachoweza kukujibu maana hana majibu.
 
Utaratibu ni kwamba anaeshinda uchaguzi ndio anaunda Serikali na anapanga wapi pesa iende.Wewe unajua chama chako hakiwezi shika Serikali unachagua Wapinzani Ili upate nini?
 
Yeyote yule Atakayekwenda kugombea Mbeya mjini atakuwa anajisumbua tu.maana wanambeya walishakubaliana kwa pamoja kuwa jimbo la Mbeya mjini litaendelea kuwa mikononi mwa Dada wa Taifa na msomi Nguli wa sheria kuwahi kutokea nyanda za juu kusini ambaye ndiye speaker wa Bunge na Rais wa umoja wa mabunge Duniani Mheshimiwa Dkt Tulia Acksoni Mwansasu.

Mbeya mjini imekataa kata kata kumpa kura ya ndio tena Sugu, maana katika miaka yake kumi katika kuongoza jimbo la Mbeya mjini hakuna alichofanya zaidi ya kuzurulantu.hata leo ukimuuliza yeye mwenyewe sugu kuwa alifanya nini hakuna anachoweza kukujibu maana hana majibu.
Mbeya inachukuliwa kabla Misa ya kwanza haijaisha. Mark my words
 
Dr anakubalika sana Karatu. Mbunge wa sasa ni kilaza balaa... ni mwanaCCM mwenzangu ila hafai kuwa mbunge. Dr Slaa arudi CCM tumpitishe kugombea Karatu.
DR SLAA CHADEMA.ILA KWA KRT HAIJALISHI ATAKUWA WAPI DR ANAKUBALIKA SNA KARATU.TANGIA AACHIE JIMBO HATUKUPATA MBUNGE KM YEYE.
 
Bila kupoteza muda ninawasihi wanachama wa CHADEMA wenye nia ya kugombea ubunge 2025 kwenye majimbo yafuatayo kuachana na huo mpango kwasababu kuna vigogo washajipitisha kugombea. Kimsingi baadhi yao wameshatamka hadharani kuwa watagombea kupitia hayo majimbo bila kujali mchakato wa katiba ya chama chao kwenye kumpata mgombea. Wakiwa wazima 2025 wafuatao watakuwa wagombea ubunge kupitia CHADEMA kwenye majimbo yao;

1. John Mrema - SEGEREA
2. Boniface Jacob - UBUNGO
3. Freeman Mbowe au mwanae James Mbowe - HAI
4. Lucy Ndesamburo - MOSHI VIJIJINI
5. Henry Kilewo - MWANGA
6. John Pumbulu - NYAMAGANA
7. John Heche - TARIME VIJIJINI
8. Ezekia Wenje - RORYA
9. Patrick Sosopi - ISIMANI
10. Peter Msigwa - IRINGA MJINI
11. Godbless Lema - ARUSHA MJINI
12. Joseph Mbilinyi - MBEYA MJINI

Kama isingekuwa Covid19 kukwaruzana na chama chao hiyo list ingekuwa na majina mengi zaidi. Ninashauri wanaCHADEMA wenye kuutaka ubunge kutafuta hiyo fursa kupitia vyama vingine au kuomba nafasi ya kugombea kwenye majimbo mengine ambayo hayajatekwa na vigogo wasiopenda demokrasia. Waende Ruangwa, Iramba, Ilala, Kilwa, Tunduru.
Utaratibu wa Chadema ni wa kidemokrasia , sisi kwetu Kyela tupo Wagombea 15 , japo nafasi napewa mimi siwezi kukataza wagombea wengine , 2025 si karibu , naweza tu kulogwa na Wanaccm nikapotea , kwahiyo ni vema Jimbo moja likawa na wagombea wengi , ndio demokrasia ilivyo
 
Wagonjwa wa akili mpo wengi kumbe! Tangu lini CCMikawa na heka wakati yenyewe inategemea ruzuku inayotokana na kodi za wananchi.
Chama kinachoshinda uchaguzi ndio kinaunda Serikali ambayo inapanga wapi pesa zikatumike.

Unachagua Wapinzani na hawawezi kushika unategemea utekeleze Ilani ya nani? 😁😁😁
 
Sioni maana ya kuchagua wapinzAni. Maana watakuja kuwasaliti wananchi, vipande vichache vya fedha wanahamia ccm... refer regime iliyopita ... it was very disappointing
 
Bila kupoteza muda ninawasihi wanachama wa CHADEMA wenye nia ya kugombea ubunge 2025 kwenye majimbo yafuatayo kuachana na huo mpango kwasababu kuna vigogo washajipitisha kugombea. Kimsingi baadhi yao wameshatamka hadharani kuwa watagombea kupitia hayo majimbo bila kujali mchakato wa katiba ya chama chao kwenye kumpata mgombea. Wakiwa wazima 2025 wafuatao watakuwa wagombea ubunge kupitia CHADEMA kwenye majimbo yao;

1. John Mrema - SEGEREA
2. Boniface Jacob - UBUNGO
3. Freeman Mbowe au mwanae James Mbowe - HAI
4. Lucy Ndesamburo - MOSHI VIJIJINI
5. Henry Kilewo - MWANGA
6. John Pumbulu - NYAMAGANA
7. John Heche - TARIME VIJIJINI
8. Ezekia Wenje - RORYA
9. Patrick Sosopi - ISIMANI
10. Peter Msigwa - IRINGA MJINI
11. Godbless Lema - ARUSHA MJINI
12. Joseph Mbilinyi - MBEYA MJINI

Kama isingekuwa Covid19 kukwaruzana na chama chao hiyo list ingekuwa na majina mengi zaidi. Ninashauri wanaCHADEMA wenye kuutaka ubunge kutafuta hiyo fursa kupitia vyama vingine au kuomba nafasi ya kugombea kwenye majimbo mengine ambayo hayajatekwa na vigogo wasiopenda demokrasia. Waende Ruangwa, Iramba, Ilala, Kilwa, Tunduru.
Acha mambo ya kuigawana nchi yetu kama urithi wa watoto wa kijani kutoka kwa baba,mama,Shangai bibi,babu,wajomba,wakwe wa kijani,taifa letu sote na kila mmoja wetu ana haki sawa sawa kulingana mfumo unaojinadi ni huru na haki kwa wote,ilhali haki mnaona inawastahili kijani tu.😅
 
Back
Top Bottom