MwanaCHADEMA mwenye nia ya kugombea ubunge 2025 kwenye majimbo yafuatayo ni vyema akaachana na huo mpango. Tayari yana wenyewe

Bila kupoteza muda ninawasihi wanachama wa CHADEMA wenye nia ya kugombea ubunge 2025 kwenye majimbo yafuatayo kuachana na huo mpango kwasababu kuna vigogo washajipitisha kugombea. Kimsingi baadhi yao wameshatamka hadharani kuwa watagombea kupitia hayo majimbo bila kujali mchakato wa katiba ya chama chao kwenye kumpata mgombea. Wakiwa wazima 2025 wafuatao watakuwa wagombea ubunge kupitia CHADEMA kwenye majimbo yao;

1. John Mrema - SEGEREA
2. Boniface Jacob - UBUNGO
3. Freeman Mbowe au mwanae James Mbowe - HAI
4. Lucy Ndesamburo - MOSHI VIJIJINI
5. Henry Kilewo - MWANGA
6. John Pumbulu - NYAMAGANA
7. John Heche - TARIME VIJIJINI
8. Ezekia Wenje - RORYA
9. Patrick Sosopi - ISIMANI
10. Peter Msigwa - IRINGA MJINI
11. Godbless Lema - ARUSHA MJINI
12. Joseph Mbilinyi - MBEYA MJINI

Kama isingekuwa Covid19 kukwaruzana na chama chao hiyo list ingekuwa na majina mengi zaidi. Ninashauri wanaCHADEMA wenye kuutaka ubunge kutafuta hiyo fursa kupitia vyama vingine au kuomba nafasi ya kugombea kwenye majimbo mengine ambayo hayajatekwa na vigogo wasiopenda demokrasia. Waende Ruangwa, Iramba, Ilala, Kilwa, Tunduru.
Hakuna mwanachadema anaeamini kwamba kukitumikia chama lazima kupata uongozi kama vyama vingine mfano ccm, wanachama wa chadema wanaamini katika ukombozi wa taifa kwa ajili ya vizazi vijavyo, why watuwanatoa pesa mifukon mwao kujenga ofisi hujiulizi,

Hoja yako haina mashiko
 
Utaratibu wa Chadema ni wa kidemokrasia , sisi kwetu Kyela tupo Wagombea 15 , japo nafasi napewa mimi siwezi kukataza wagombea wengine , 2025 si karibu , naweza tu kulogwa na Wanaccm nikapotea , kwahiyo ni vema Jimbo moja likawa na wagombea wengi , ndio demokrasia ilivyo
Kwenye majimbo niliyoorodhesha wagombea ndo hao niliowataja na sio vinginevyo. Kifo au labda wakiwa mahututi vitandani ndo vitafanya wasiweze kugombea. Hakuna demokrasia kwenye kura za maoni ndani ya CHADEMA
 
Acha mambo ya kuigawana nchi yetu kama urithi wa watoto wa kijani kutoka kwa baba,mama,Shangai bibi,babu,wajomba,wakwe wa kijani,taifa letu sote na kila mmoja wetu ana haki sawa sawa kulingana mfumo unaojinadi ni huru na haki kwa wote,ilhali haki mnaona inawastahili kijani tu.😅
Naongelea uteuzi wa wagombea ubunge kupitia CHADEMA na sio kugawa nchi
 
Hakuna mwanachadema anaeamini kwamba kukitumikia chama lazima kupata uongozi kama vyama vingine mfano ccm, wanachama wa chadema wanaamini katika ukombozi wa taifa kwa ajili ya vizazi vijavyo, why watuwanatoa pesa mifukon mwao kujenga ofisi hujiulizi,

Hoja yako haina mashiko
Mwambie Lema asigombee ubunge uone atakavyopatwa na jazba
 
Moshi vijijini tunaenda na Malisa Godlisten
Mtapigwa mapema tu. Malisa sio mwanasiasa kabisa. Ni mbovu mno kwenye kuongea mbele za watu. Pia ni mtu short-tempered na dikteta. Yule siasa hawezi. Tafuteni mgombea mwingine.
 
Bila kupoteza muda ninawasihi wanachama wa CHADEMA wenye nia ya kugombea ubunge 2025 kwenye majimbo yafuatayo kuachana na huo mpango kwasababu kuna vigogo washajipitisha kugombea. Kimsingi baadhi yao wameshatamka hadharani kuwa watagombea kupitia hayo majimbo bila kujali mchakato wa katiba ya chama chao kwenye kumpata mgombea. Wakiwa wazima 2025 wafuatao watakuwa wagombea ubunge kupitia CHADEMA kwenye majimbo yao;

1. John Mrema - SEGEREA
2. Boniface Jacob - UBUNGO
3. Freeman Mbowe au mwanae James Mbowe - HAI
4. Lucy Ndesamburo - MOSHI VIJIJINI
5. Henry Kilewo - MWANGA
6. John Pumbulu - NYAMAGANA
7. John Heche - TARIME VIJIJINI
8. Ezekia Wenje - RORYA
9. Patrick Sosopi - ISIMANI
10. Peter Msigwa - IRINGA MJINI
11. Godbless Lema - ARUSHA MJINI
12. Joseph Mbilinyi - MBEYA MJINI

Kama isingekuwa Covid19 kukwaruzana na chama chao hiyo list ingekuwa na majina mengi zaidi. Ninashauri wanaCHADEMA wenye kuutaka ubunge kutafuta hiyo fursa kupitia vyama vingine au kuomba nafasi ya kugombea kwenye majimbo mengine ambayo hayajatekwa na vigogo wasiopenda demokrasia. Waende Ruangwa, Iramba, Ilala, Kilwa, Tunduru.
Sisi machali wa Arusha tunamtaka Pallangyo ,Lema aende machame akashindane na binamu yake.
 
Handle Mama Samia, umbea Chadema, ukichumbiwa unalalamika? Vijana wa mwananyamala mna shida sana
 
Sasa ulitaka wagombee kina nani kwenye hayo majimbo? Unaweza kumtoa Sugu Mbeya Mjini? Huyo ndiyo Mbunge aliyeongoza kwa kura kwa muda wote tangia bunge liundwe hakuna aliyevunja rekodi yake.
 
Mbeya Mjini
Arusha Mjini
Hayo majimbo nasubiri mchuano wake kwa hamu sana.
Kwa Arusha mjini kwakweli LEMA au CHADEMA kwa ujumla wana kazi nzito sana kwasababu vijana wengi sana walikuwa Disappointed na ile kauli ya Lema kuhusu Bodaboda....Then CCM nao wakatumia kama silaha

Wamekuwa wakiwapa 20K vijana na kuwajazia mafuta ya pikipiki karibu kila mwezi
 
Utaratibu wa Chadema ni wa kidemokrasia , sisi kwetu Kyela tupo Wagombea 15 , japo nafasi napewa mimi siwezi kukataza wagombea wengine , 2025 si karibu , naweza tu kulogwa na Wanaccm nikapotea , kwahiyo ni vema Jimbo moja likawa na wagombea wengi , ndio demokrasia ilivyo
Chadema haina demokrasia muulize chacha machera kilichompata chalinze 2015
 
Back
Top Bottom