MwanaCHADEMA mwenye nia ya kugombea ubunge 2025 kwenye majimbo yafuatayo ni vyema akaachana na huo mpango. Tayari yana wenyewe

Hakuna mwanachadema anaeamini kwamba kukitumikia chama lazima kupata uongozi kama vyama vingine mfano ccm, wanachama wa chadema wanaamini katika ukombozi wa taifa kwa ajili ya vizazi vijavyo, why watuwanatoa pesa mifukon mwao kujenga ofisi hujiulizi,

Hoja yako haina mashiko
 
Kwenye majimbo niliyoorodhesha wagombea ndo hao niliowataja na sio vinginevyo. Kifo au labda wakiwa mahututi vitandani ndo vitafanya wasiweze kugombea. Hakuna demokrasia kwenye kura za maoni ndani ya CHADEMA
 
Naongelea uteuzi wa wagombea ubunge kupitia CHADEMA na sio kugawa nchi
 
Mwambie Lema asigombee ubunge uone atakavyopatwa na jazba
 
Moshi vijijini tunaenda na Malisa Godlisten
 
Moshi vijijini tunaenda na Malisa Godlisten
Mtapigwa mapema tu. Malisa sio mwanasiasa kabisa. Ni mbovu mno kwenye kuongea mbele za watu. Pia ni mtu short-tempered na dikteta. Yule siasa hawezi. Tafuteni mgombea mwingine.
 
Sisi machali wa Arusha tunamtaka Pallangyo ,Lema aende machame akashindane na binamu yake.
 


Handle Mama Samia, umbea Chadema, ukichumbiwa unalalamika? Vijana wa mwananyamala mna shida sana
 

Sasa ulitaka wagombee kina nani kwenye hayo majimbo? Unaweza kumtoa Sugu Mbeya Mjini? Huyo ndiyo Mbunge aliyeongoza kwa kura kwa muda wote tangia bunge liundwe hakuna aliyevunja rekodi yake.
 
Mbeya Mjini
Arusha Mjini
Hayo majimbo nasubiri mchuano wake kwa hamu sana.
Kwa Arusha mjini kwakweli LEMA au CHADEMA kwa ujumla wana kazi nzito sana kwasababu vijana wengi sana walikuwa Disappointed na ile kauli ya Lema kuhusu Bodaboda....Then CCM nao wakatumia kama silaha

Wamekuwa wakiwapa 20K vijana na kuwajazia mafuta ya pikipiki karibu kila mwezi
 
Chadema haina demokrasia muulize chacha machera kilichompata chalinze 2015
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…