MwanaCHADEMA mwenye nia ya kugombea ubunge 2025 kwenye majimbo yafuatayo ni vyema akaachana na huo mpango. Tayari yana wenyewe

Hivi huko cdm hamnaga waislam?
 
Wanapigaga kura? Wako wangapi?
 
Tanzania hakuna uchaguzi bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu Mweusi kwenye box la kura.
 
Wanapigaga kura? Wako wangapi?
Ndio kwa Arusha vijana wanapiga sana kura katika kila Uchaguzi na huwa wanawapigia Wapinzani kwa mfano halisi ni kumpigia kura Lema akiwa TLP na alipohamia CHADEMA
 
Na vyama vyote wanaotaka kugombea urais tayari una mwenyewe, Dr. Samia Suluhu Hassan.
 
Jimbo la Hai, Moshi Mjini, Moshi DC, Chunya, Lupa, Arusha Mjini, Babati Mjini hata ukiweka Jogoo ataondoa CCM
 
Ndio kwa Arusha vijana wanapiga sana kura katika kila Uchaguzi na huwa wanawapigia Wapinzani kwa mfano halisi ni kumpigia kura Lema akiwa TLP na alipohamia CHADEMA
Lema ana kashfa ya kuuza ubunge wake kwa Mrema
 
Chagueni mtu sio kuchagua ni chama Gani, ni dini Gani, ni jinsia Gani.
 
Jimbo la musoma mjini liko wazi kabisa kwa upinzani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…