MwanaCHADEMA mwenye nia ya kugombea ubunge 2025 kwenye majimbo yafuatayo ni vyema akaachana na huo mpango. Tayari yana wenyewe

Daah mbona na mie ni uhakika hapa itakuaje na wewe naona unajimwambafy
 
Ongezea basi na Mimi nipo pale Itilima
 
Hawa ni wagombea wa kudumu
 
Iramba yupo Kishoa,waende kwengine
 
Una maanisha wasiwepo wengine wanaoruhusiwa kuchukua fomu ya kuomba kuwa mgombea?✍️
 
Una maanisha wasiwepo wengine wanaoruhusiwa kuchukua fomu ya kuomba kuwa mgombea?✍️
Wanaruhusiwa ila wajue watakuwa wanatimiza tu wajibu wao wa kidemokrasia lakini wagombea ndo hao niliowataja.
 
Acha dharau,mwanangu ni monita wa darasa la tatu ujue.
 
Kizazaa ninakiona pale Mbea mjini. Mbona kazi itakuepo?
Kumtoa mkuu wa mhimili au kama Tivuake anavosema muamala
Madam tutamkaribisha Kyela, Alipipi (au Ally kama anavyojitambulisha mwenyewe!!) anajitahidi, ila wenyeji hawamkubali bila ya sababu za msingi.
 
Kizazaa ninakiona pale Mbea mjini. Mbona kazi itakuepo?
Kumtoa mkuu wa mhimili au kama Tivuake anavosema muamala
Kihitifaki spika ni wangapi kutoka Kwa rais? Ukipata jibu utaona jinsi gani mchuano utakavyokua mkubwa.
 
Nipo mkuu. Mambo ya CHADEMA ungetuachia sisi. Kwa mfano Lema hagombei Arusha mjini anaenda machame. Arusha mjini tunaleta mgombea mwingine.
Hakuna jimbo la Machame. Kama ni jimbo la Hai tayari Mbowe kaonyesha nia ya kumrithisha mwanae James.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…