Mwanachama Bora Jamiiforums 2022

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
21,967
Reaction score
32,074
MWANACHAMA BORA JAMIIFORUMS STORIES OF CHANGE 2022

Picha zilizopo hapo chini zinajieleza zenyewe.
Nawashukuru sana JF kwa heshima hii waliyonipa.

Huu ni mwaka wa pili mfululizo napewa heshima hii.
Leo nimefika JF na nimekabidhiwa zawadi zangu.

Huo mfuko ndimo zilimo hizo zawadi zangu.
Zawadi nimepewa kwa faragha kwa hivyo basi sitosema nilichopewa.

Naamini haiba ya mfuko inaeleza nini kilikuwa ndani.
Furaha yangu haielezeki.

Ahsante sana JF.


 
Hongera Mzee wangu Mohamed Said mungu akulinde akupe afya njema na maisha marefu
 
Mzee Mohamed Said usinisahau kwenye ufalme wako😃😃

Mimi na wewe tumetoka mbali sana mzee Mwenzangu😃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…