Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
- Thread starter
- #21
Paki...Mzee Mohamed Said usinisahau kwenye ufalme wako😃😃
Mimi ma wewe tumetoka mbali sa mzee Mwenzangu😃
Bila ya kusema Mzee Mwenzangu.
Neema sharti ienee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Paki...Mzee Mohamed Said usinisahau kwenye ufalme wako😃😃
Mimi ma wewe tumetoka mbali sa mzee Mwenzangu😃
Grahams,Hongera sana Mkuu, kupitia maandishi yako tunaona wingi wa busara ulionao.
Mungu aendelee kukuweka Mzee wetu
Macho...Hongera sana mkuu. Una kipaji kizuri sana cha uandishi. Unaweza kuwa miongoni mwa watanzania wachache wenye kipaji hiki!!
Deo...Hongela maalim ,najifunza mengi toka kwako
Suleiman...Hongera Mzee wangu Mohamed Said mungu akulinde akupe afya njema na maisha marefu
MaalimFaiza,Amiin.
Not...Hongera mzee mwenzangu
Dr. Restart,Mzee Hongera sana.
Ni wakati sasa wa Kubadili 'Avatar' yako. Ile kampeni ya Cocacola mwaka 2015/16 ya kuandika majina kwenye vibebeo vyao (take aways) ilikubamba barabara.
Naomba kujua kama kuna uzi wowote uliwahi kuandika kuhusu Hayati Sokoine.
|
|
| Moringe Sokoine |
Kituko,Hivi Mkuu Mohamed Said, alishawahi kumwandikia wasifu wake huyu?( EMS) Au sio wa upande wetu huyu!
Hongera mkuu.MWANACHAMA BORA JAMIIFORUMS STORIES OF CHANGE 2022
Picha zilizopo hapo chini zinajieleza zenyewe.
Nawashukuru sana JF kwa heshima hii waliyonipa.
Huu ni mwaka wa pili mfululizo napewa heshima hii.
Leo nimefika JF na nimekabidhiwa zawadi zangu.
Huo mfuko ndimo zilimo hizo zawadi zangu.
Zawadi nimepewa kwa faragha kwa hivyo basi sitosema nilichopewa.
Naamini haiba ya mfuko inaeleza nini kilikuwa ndani.
Furaha yangu haielezeki.
Ahsante sana JF.
![]()
![]()
Nikiri wazi mzee Mohammed Said, wewe ni mmoja ya member mlionifanya nijue mengi sana, napendwa na watu kazini, marafiki, vijiweni kutokana na facts ninazowapa ambazo nyingi natoa humu na zako unazoandikaga zikiwemo.MWANACHAMA BORA JAMIIFORUMS STORIES OF CHANGE 2022
Picha zilizopo hapo chini zinajieleza zenyewe.
Nawashukuru sana JF kwa heshima hii waliyonipa.
Huu ni mwaka wa pili mfululizo napewa heshima hii.
Leo nimefika JF na nimekabidhiwa zawadi zangu.
Huo mfuko ndimo zilimo hizo zawadi zangu.
Zawadi nimepewa kwa faragha kwa hivyo basi sitosema nilichopewa.
Naamini haiba ya mfuko inaeleza nini kilikuwa ndani.
Furaha yangu haielezeki.
Ahsante sana JF.
![]()
![]()
Tad...Nikiri wazi mzee Mohammed Said,ww ni mmoja ya member mlionifanya nijue mengi sana,napendwa na watu kazini,marafiki,vijiweni kutokana na facts ninazowapa ambazo nyingi natoa humu na zako unazoandikaga zikiwemo