Mwanachama Bora Jamiiforums 2022

Mwanachama Bora Jamiiforums 2022

Nani alikwambia ni waislamu tu walipigania uhuru wa Tanganyika? Wachaga nao tunaowabagua tena waziwazi na wao waanze kuandika na kulialia? Mlitaka zawadi labda au mli overexpect sana, au mlijua nchi itakuwa ya kidini?
Paqwa,
Umefanya haraka kunijibu.

Kwanza soma kitabu usome upya historia ya uhuru wa Tanganyika.

Baada ya.kusoma ndipo uje kujadili nami ikiwa una hoja.

Katika kitabu hicho utakutana na Wachagga wa Moshi mjini waliopigania uhuru wa Tanganyika: Yusuf Olotu, Mama bint Mwalimu, Halima Selengia, Amina Kinabo, Lucy Lameck kwa kuwataja wachache.

Wala sijapata kunyanyua kalamu kuandika kuhusu maslahi binafsi ya wapigania uhuru.

Nilichoandika ni kusahihisha historia iliyopotoshwa kwa makusudi kuwakwepa Waislam.

Wazee wetu wangetaka Tanganyika ya ubaguzi wa dini masheikh wakiongozwa na Mufti Sheikh Hassan bin Ameir wasingemuunga mkono Julius Nyerere.

Umepata kusikia Sheikh Hassan bin Ameir akitajwa popote?
 
Hongera sana kamanda! Endelea kutuhabarisha mzee wangu 👊🏾👍🏾
 
Jf nao sasa wameanza kupwaya,sasa huyu mzee ndio apewe uana chama bora?sibora wangempa haya mpwanyungu village,

Nb:Jf mtupe nafasi sisi wanajf tupige kura ya kuchagua mwanachama bora.
Jiwe...
Katika maisha yangu sijapata kuwasilisha "abstract" ya paper chuo chochote ikakataliwa.

Katika maisha yangu nimepokea tuzo kadhaa kwa uandishi wa historia.

Nafasi ya kupiga kura ilitolewa na wapiga kura 14 wa kwanza wote walimpigia kura mwandishi.

Hapo zoezi likasitishwa.
 
Paqwa,
Umefanya haraka kunijibu.

Kwanza soma kitabu usome upya historia ya uhuru wa Tanganyika.

Baada ya.kusoma ndipo uje kujadili nami ikiwa una hoja.

Katika kitabu hicho utakutana na Wachagga wa Moshi mjini waliopigania uhuru wa Tanganyika: Yusuf Olotu, Mama bint Mwalimu, Halima Selengia, Amina Kinabo, Lucy Lameck kwa kuwataja wachache.

Wala sijapata kunyanyua kalamu kuandika kuhusu maslahi binafsi ya wapigania uhuru.

Nilichoandika ni.kusahihisha historia iliyopotoshwa kwa makusudi kuwakwepa Waislam.

Wazee wetu wangetaka Tanganyika ya ubaguzi wa dini masheikh wakiongozwa na Mufti Sheikh Hassan bin Ameir wasingemuunga mkono Julius Nyerere.

Umepata kusikia Sheikh Hassan bin Ameir akitajwa popote?
Shida yangu ni kwamba unaiweka katika muktadha wa kidini, kwani walikuwa wanatumia dini yao kutafuta uhuru au kwa kuwa walikuwa waislam ndio muubebe uislam kwenye uhuru wa Tanganyika? Ata hao wachaga umejaribu ku pick waislamu wenzio kuaminisha umma kuwa Tanganyika ni mali ya waislam ama? What is the point? Kwahiyo?
 
Nakuwekea picha hapo chini ya kwanza ni ya 1955 na ya pili ni 1957.
Labda picha hizi zitakueleza jambo:

1680121589519.png

Safari ya Nyerere ya kwanza UNO 1955
Kulia: Bi. Chiku bint Said Kisusa (Mke wa Shariff Abdallah Attas), Bi. Titi Mohamed na wa kwanza kushoto ni Bi. Tatu bint Mzee wanamsindikiza Nyerere Uwanja wa Ndege wa Dar es Salaam.

1680121849593.jpeg

Baraza la Wazee wa TANU
1957
Historia ya TANU ilipokujwa kuandikwa historia hii haikuwapo.

Kwa kuwa hawa mimi ni wazee wangu nilikuwa naijua historia ya uhuru wa Tanganyika.

Ndipo nikaamua kuandika historia ya TANU nikitumia Nyaraka za Sykes.
Kwa nini Nyaraka za Sykes?

Kleist Sykes ni mmoja wa waasisi wa African Association 1929.
Historia hii haipo katika historia ya TANU.

Abdul Sykes kadi yake ya TANU No. 3, Ally Sykes kadi yake No. 2 na Julius Nyerere kadi yake No. 1.

Waandishi wa historia ya TANU wakaifanya historia ya TANU ni historia ya Julius Nyerere peke yake.

Jambo la kusikitisha Nyerere alikuwa kimya.
 
Paqwa,
Nakuwekea picha hapo chini ya kwanza ni ya 1955 na ya pili ni 1957.
Labda picha hizi zitakueleza jambo:

View attachment 2570460
Safari ya Nyerere ya kwanza UNO 1955
Kulia: Bi. Chiku bint Said Kisusa (Mke wa Shariff Abdallah Attas), Bi. Titi Mohamed na wa kwanza kushoto ni Bi. Tatu bint Mzee wanamsindikiza Nyerere

View attachment 2570464
Baraza la Wazee wa TANU
1957​
Naziona mzee, what's your point? Pwani ikiwemo Dar es Salaam uislam ni sehemu kubwa ya population. Unataka kusemaje yani? Acha udini mzee. Hao wazee walitoa nauli? Unafahamu pesa zilikuwa zinatoka wapi? Yani unahusianisha dini yako na hulka za uhuru, nyie ndio mnatakaga shida tu. Havihusiani. Sidhani kama hao watu walikwenda kwa mwavuli wa dini, ila sasa, mnavolazimisha. Hizo koo zimependelewa sana mpaka dar es salaam wanasema ina wenyewe na ndio wao, wakiyumba kiuchumi shida za dhulma inaanza.
 
Amini upendacho.

Nimeandika kitabu na kitabu kimesahihisha historia ya TANU iliyokuwa inachukuliwa kuwa ndiyo historia ya kweli:

1680123114429.jpeg
 
Jiwe...
Katika maisha yangu sijapata kuwasilisha "abstract" ya paper chuo chochote ikakataliwa.

Katika maisha yangu nimepokea tuzo kadhaa kwa uandishi wa historia.

Nafasi ya kupiga kura ilitolewa na wapiga kura 14 wa kwanza wote walimpigia kura mwandishi.

Hapo zoezi likasitishwa.
HV Dr Mohamed je ulisoma kitabu Cha why European underdeveloped Africa

Je wee unalaslusema has a kwa muandishi juu ya dhana yake hyo na Kwan. Asingesema Africa ilipaswa kutawaliwa kwa mabavu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Naziona mzee, what's your point? Pwani ikiwemo Dar es Salaam uislam ni sehemu kubwa ya population. Unataka kusemaje yani? Acha udini mzee. Hao wazee walitoa nauli? UnafahamPaqwau pesa zilikuwa zinatoka wapi? Yani unahusianisha dini yako na hulka za uhuru, nyie ndio mnatakaga shida tu. Havihusiani. Sidhani kama hao watu walikwenda kwa mwavuli wa dini, ila sasa, mnavolazimisha. Hizo koo zimependelewa sana mpaka dar es salaam wanasema ina wenyewe na ndio wao, wakiyumba kiuchumi shida za dhulma inaanza.
Paqwa,
Nakuwekea picha ya waliomsindikiza Nyerere Uwanja wa Ndege safari ya kwanza UNO 1955:

1680123301156.jpeg

Aliyesimama mkuono wa kulia wa Julius Nyerere jina lake ni Iddi Faiz Mafungo kadi yake ya TANU No. 24 Mweka Hazina wa Al Jamuatul Islamiyya fi Tanganyika (Umoja wa Waislam wa Tanganyika) na Mweka Hazina wa TANU. Iddi Faiz ndiye alikuwa mkusanyaji wa fedha za safari ya Nyerere UNO.
Iddi Faiz hayumo katika historia ya TANU.
Historia yake ipo katika kitabu cha Abdul Sykes.

Hafla ya kumuaga Nyerere ilifanyika katika jengo la Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika:

1680124028078.jpeg

Jengo la Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika​
 
Paqwa,
Nakuwekea picha hapo chini ya kwanza ni ya 1955 na ya pili ni 1957.
Labda picha hizi zitakueleza jambo:

View attachment 2570460
Safari ya Nyerere ya kwanza UNO 1955
Kulia: Bi. Chiku bint Said Kisusa (Mke wa Shariff Abdallah Attas), Bi. Titi Mohamed na wa kwanza kushoto ni Bi. Tatu bint Mzee wanamsindikiza Nyerere Uwanja wa Ndege wa Dar es Salaam.

View attachment 2570464
Baraza la Wazee wa TANU
1957
Historia ya TANU ilipokujwa kuandikwa historia hii haikuwapo.

Kwa kuwa hawa mimi ni wazee wangu nilikuwa naijua historia ya uhuru wa Tanganyika.

Ndipo nikaamua kuandika historia ya TANU nikitumia Nyaraka za Sykes.
Kwa nini Nyaraka za Sykes?

Kleist Sykes ni mmoja wa waasisi wa African Association 1929.
Historia hii haipo katika historia ya TANU.

Abdul Sykes kadi yake ya TANU No. 3, Ally Sykes kadi yake No. 2 na Julius Nyerere kadi yake No. 1.

Waandishi wa historia ya TANU wakaifanya historia ya TANU ni historia ya Julius Nyerere peke yake.

Jambo la kusikitisha Nyerere alikuwa kimya.

Paqwa,
Nakuwekea picha ya waliomsindikiza Nyerere Uwanja wa Ndege safari ya kwanza UNO 1955:

View attachment 2570482
Aliyesimama mkuono wa kulia wa Julius Nyerere jina lake ni Iddi Faiz Mafungo kadi yake ya TANU No. 24 Mweka Hazina wa Al Jamuatul Islamiyya fi Tanganyika (Umoja wa Waislam wa Tanganyika) na Mweka Hazina wa TANU. Iddi Faiz ndiye alikuwa mkusanyaji wa fedha za safari ya Nyerere UNO.
Iddi Faiz hayumo katika historia ya TANU.
Historia yake ipo katika kitabu cha Abdul Sykes.

Hafla ya kumuaga Nyerere ilifanyika katika jengo la Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika:

View attachment 2570492
Jengo la Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika​
Kwahiyo?
 
Paqwa,
Mimi nadhani nikuulize wewe si wewe kuniuliza mimi.

Nakuuliza.
Ulikuwa unajua kuwa hii ndiyo historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika?
Nafahamu ndio. Kwani we umeweka jipya gani? Mimi ninaona watu weusi kama sisi wakipambana kwa pamoja, wewe unaona kwa jicho la kidini. Wewe ni mdini. Hapo ndipo utofauti ulipo.
 
Back
Top Bottom