Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
- Thread starter
- #101
Nafahamu ndio. Kwani we umeweka jipya gani? Mimi ninaona watu weusi kama sisi wakipambana kwa pamoja, wewe unaona kwa jicho la kidini. Wewe ni mdini. Hapo ndipo utofauti ulipo.
Nafahamu ndio. Kwani we umeweka jipya gani? Mimi ninaona watu weusi kama sisi wakipambana kwa pamoja, wewe unaona kwa jicho la kidini. Wewe ni mdini. Hapo ndipo utofauti ulipo.
Paqwa,Nafahamu ndio. Kwani we umeweka jipya gani? Mimi ninaona watu weusi kama sisi wakipambana kwa pamoja, wewe unaona kwa jicho la kidini. Wewe ni mdini. Hapo ndipo utofauti ulipo.
Historia hii haikufahamika na wengi hadi kilipochapwa kitabu cha Abdul Sykes.
Mapya ndiyo hayo uliyosoma.
Kwa pamoja vipi wakati unawaona Waislam wako mstari wa mbele lakini historia ilipokuja kuandikwa Waislam hawaonekani.
Umesema kweli kuhusu dini mimi nimeshangazwa vipi Waislam wamefutwa katika historia ya kupigania uhuru.
Ikawa hapa nimepata historia muhimu sana ya kutafiti na kuandika: "...The Untold Story of the Muslim Struggle Against British Colonialism."
Kama ulivyosema hapa ndipo ilipo tofauti ya vitabu vilivyoandikwa kabla ya kitabu changu na hiki kitabu changu.
Hivyo vyao vimekufa kitabu changu bado kipo na kishachapwa mara nne.