TANZIA Mwanachama mwenzetu Warumi afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili

TANZIA Mwanachama mwenzetu Warumi afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili

Status
Not open for further replies.
Yaani nikikukmbuka kuwa na mimi ID yangu itaandikwa R.I.P nguvu zinaniishia.. Rest easy Bro!

1 Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke
Siku zake za kuishi si nyingi, naye hujaa taabu.
2 Yeye huchanua kama vile ua, kisha hukatwa;
Hukimbia kama kivuli, wala hakai kamwe.

Raha ya milele uumpe ee Bwana
Na mwanga wa milele umuangazie
Apumzike kwa amani.
Amina.
 
See you soon Warumi.

IMG_20210826_145041.jpg
 
Kuna baadhi ya watu humu wanajua kuwa alikuwa anaumwa[emoji848]

But unajua angesema tungemshauri, hata kipesa jamani

Kwanin alifanya siri[emoji22][emoji24]

Warumi wangu jamani, tumbo la uzazi linanikata[emoji24][emoji24]
Eti jaman mi alikuwa akiona nipo kimya ananicheki pm na kuniuliza binam upo wapi au umebanwa
Jamani warumi wetu sisi chaumbea wetu
 
Binamuuuuuuuu. Mmbea mwenye viwango vyako, usiye na mpinzani Afrika Mashariki na Kati; tutakukumbuka daima binamu yetu daaah. Ahsante kwa burudani uliyokuwa unatupa Celebrities Forum; kwa kweli hakukuwa na kama wewe kwa kutuletea tu ubuyu wenye viwango; and we aprreciated you, when you were still alive. Upumzike kwa amani binamu.
 
Tulivyokuwa tunabishana kuhusu zari
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] naona kama ndoto
Apumzike kwa amani
 
Daah andjul ali-like comment yangu kwenye uzi wa zamani wa Warumi. Mmh ile nafungua naona RIP kwenye ID ya Warumi; nikakukumbuka ghalfa. Kwa kweli mmepitia mengi na Warumi kwenye hekaheka za umbea. Nakumbuka enzi zile mnachambana na Matola;Warumi anachanganyikiwa na vichambo hadi anajiquote mwenyewe.

Evelyn Salt unakumbuka binamu alivyoenda kulala kwenye msiba wa Marehemu Kuambiana ili tu kutuletea ubuyu? Daah binamu yetu maskini
Tulivyokuwa tunabishana kuhusu zari
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] naona kama ndoto
Apumzike kwa amani
 
Watu wakifa hutulia kimya kaburini
mpaka siku ya kiama
rest well warumi najua huko ulikokwenda kungekuwa na nafasi ya kutugea umbea ungetupa sisi wa duniani
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom