Eti jaman mi alikuwa akiona nipo kimya ananicheki pm na kuniuliza binam upo wapi au umebanwaKuna baadhi ya watu humu wanajua kuwa alikuwa anaumwa[emoji848]
But unajua angesema tungemshauri, hata kipesa jamani
Kwanin alifanya siri[emoji22][emoji24]
Warumi wangu jamani, tumbo la uzazi linanikata[emoji24][emoji24]
Ndo maana hatukumuona kwenye umbea kule kumbe alikua anafight na maisha yakeJmn binamu warumi daaah, apumzike kwa amani.
Binamuuuuuuuu. Mmbea mwenye viwango vyako, usiye na mpinzani Afrika Mashariki na Kati; tutakukumbuka daima binamu yetu daaah. Ahsante kwa burudani uliyokuwa unatupa Celebrities Forum; kwa kweli hakukuwa na kama wewe kwa kutuletea tu ubuyu wenye viwango; and we aprreciated you, when you were still alive. Upumzike kwa amani binamu.
Tulivyokuwa tunabishana kuhusu zari
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] naona kama ndoto
Apumzike kwa amani