Daaah nilikua sijui kumbe warumi alishafariki nilikua sijui kabisa aisee
Daaah nilikua sijui kumbe warumi alishafariki nilikua sijui kabisa aisee
Shalo "Jenta"Mkuu huyo mwingine tena kadead? Me nafaham Warumi ndiye ametangulia mbele ya haki, huyo Watumi kafariki lini tena?
JF tunazidi kuteketea
Aiseee daahHuwa inatokea unapitiwa na mambo hata Mimi nimejua last week kwamba Renatus Mkinga kafariki yaani baaada ya miezi mitau na nusu kupita ndio nimejua.
Mkuu tatizo unajichimbia sana huko ndani ndani minjingu kuchoma mikaa.Huwa inatokea unapitiwa na mambo hata Mimi nimejua last week kwamba Renatus Mkinga kafariki yaani baaada ya miezi mitau na nusu kupita ndio nimejua.
Warumi hakuwa wa kike ni dumeDaaah nilikua sijui kumbe warumi alishafariki nilikua sijui kabisa aisee
Naomba jf uongozi kwa members ambao wameleta mchango mkubwa humu jf au umaarufu basi kuanzishwe utaratibu wa maalum ambapo...
Attention seekerMkuu huyo mwingine tena kadead? Me nafaham Warumi ndiye ametangulia mbele ya haki, huyo Watumi kafariki lini tena?
JF tunazidi kuteketea
Usichofahamu warumi mi mwanaumeDaaah nilikua sijui kumbe warumi alishafariki nilikua sijui kabisa aisee
Naomba jf uongozi kwa members ambao wameleta mchango mkubwa humu jf au umaarufu basi kuanzishwe utaratibu wa maalum ambapo...
Pole yake
Unampa pole marehemu badala ya wafiwa?Pole yake