TANZIA Mwanachama mwenzetu Warumi afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili

TANZIA Mwanachama mwenzetu Warumi afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili

Status
Not open for further replies.
Daaah nilikua sijui kumbe warumi alishafariki nilikua sijui kabisa aisee

Naomba jf uongozi kwa members ambao wameleta mchango mkubwa humu jf au umaarufu basi kuanzishwe utaratibu wa maalum ambapo.

Ambapo mtu akitaka kutoa rambi rambi jf uongozi muwe na sehemu au namba kbs kutokea jf

Inatokea member anakufa humu members wanataka kutoa rambi rambi lakini wanashindwa maana utaratibu hamna hivyo nashauri jf uongozi kuwe na verfied namba ikitokea mtu kafa mfano member mwenye mchango mkubwa au muhimu basi memba wakitaka mchangia iwe rahisi

R.i.p Warumi nilikua sijui pumzika kwa amani[emoji1317][emoji1317][emoji1317][emoji1317]
 
Warumi nimemkubali sana kwenye kuchangia uzi wa DECEPTION kuhusu UKIMWI
ASANTEH kwa taarifa Na mimi nilikuwa sijuh.
 
wewe umekula lakini? maana mamaako kapika dagaa na wewe mtoto wa kiume huziwezi unapenda vitu laini laini, chips piza na baga bila kusahau milinda nyeusi.. Looh salaleee, nguvu kazi inapotea.
 
Mkuu huyo mwingine tena kadead? Me nafaham Warumi ndiye ametangulia mbele ya haki, huyo Watumi kafariki lini tena?
JF tunazidi kuteketea
 
Daaah nilikua sijui kumbe warumi alishafariki nilikua sijui kabisa aisee

Naomba jf uongozi kwa members ambao wameleta mchango mkubwa humu jf au umaarufu basi kuanzishwe utaratibu wa maalum ambapo...
Warumi hakuwa wa kike ni dume
 
Daaah nilikua sijui kumbe warumi alishafariki nilikua sijui kabisa aisee

Naomba jf uongozi kwa members ambao wameleta mchango mkubwa humu jf au umaarufu basi kuanzishwe utaratibu wa maalum ambapo...
Usichofahamu warumi mi mwanaume
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom