TANZIA Mwanachama na mfanyakazi wa JamiiForums, Dotto Mnzava afariki dunia kwa ajali ya pikipiki

TANZIA Mwanachama na mfanyakazi wa JamiiForums, Dotto Mnzava afariki dunia kwa ajali ya pikipiki

Status
Not open for further replies.
Oh my god! May God give him eternal peace.
 
Ni kweli amefariki nimeshuhudia ajari hapa Victoria karibu na moroco ilikua mida ya saa 8:45 mchana,apumzike kwa amani.
 
Amefariki kwa ajali ya pikipiki maeneo ya Victoria Mwananyamala wakuu.

So sad
 
Tumempoteza kamanda

Rest in peace .. dotto mzava
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom