TANZIA Mwanachama na mfanyakazi wa JamiiForums, Dotto Mnzava afariki dunia kwa ajali ya pikipiki

TANZIA Mwanachama na mfanyakazi wa JamiiForums, Dotto Mnzava afariki dunia kwa ajali ya pikipiki

Status
Not open for further replies.
Tupeni taarifa zaidi za msiba wa dotto
R.i.p kamanda
 
So sad aiseeee.....
Tangulia dotto mzava, na Mungu akurehem
 
Last edited by a moderator:
Sote ni njia moja! Umetutangulia mkuu lala pema pepon
 
Dah apumzike kwa Amani na Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi. Poleni sana wanafamilia
 
RIP Dotto Mnzava, ni moja ya wana jf wachache wenye I'D za majina yao halisi na avatar ya picha yake halisi!

Tangulia Dotto, sote njia ni moja!
 
Last edited by a moderator:
Pumzika kwa amani mkuu.

I wish ningeifahamu ID yake nyingine.
 
Ndugu zangu wengine hatumfahamu jaribuni kuweka maelezo kidogo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom