Maboso
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 5,164
- 5,762
Masaa sita yaliyopita kapost tweet hizi eti sasa hivi anaitwa marehemu, duh kweli hakuna anayejua siku wala saa. Nakuombea kwa Mungu akupumzishe kwa amani Dotto Mnzava.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So sadAjali ilikua mbaya.
Yeye ni mwandishi wa habari, alikua anaenda kwenye press maeneo ya Posta.
Kutokana na foleni za Dar ikabidi achukue boda boda.
Walichomekewa wakaanguka. Yeye alianguka barabarani gari ikampitia kichwani.
Ndo nani? Fafanua please
Ndio nani? Any way, R.I.P Dotto.
Ajali ilikua mbaya.
Yeye ni mwandishi wa habari, alikua anaenda kwenye press maeneo ya Posta.
Kutokana na foleni za Dar ikabidi achukue boda boda.
Walichomekewa wakaanguka. Yeye alianguka barabarani gari ikampitia kichwani.
Wapendwa wana Jf, ni masikitiko makubwa kuwajulisha kifo cha member mwenzetu hapa Jf Dotto Mnzava kilichotokea leo mchana saa 8 baada ya kupata ajari ya Pikipiki maeneo ya Victoria jijini Dar.
Mwili wa marehemu umehifadhiwa ktk hospital ya mwananyamala kusubiri taratibu zitakazofata.
Pumzika kwa amani rafiki yangu Dotto.