TANZIA Mwanachama na mfanyakazi wa JamiiForums, Dotto Mnzava afariki dunia kwa ajali ya pikipiki

TANZIA Mwanachama na mfanyakazi wa JamiiForums, Dotto Mnzava afariki dunia kwa ajali ya pikipiki

Status
Not open for further replies.
Inauma sana aisee!! poleni sana wafiwa!! R.I.P dotto msamva
 
Last edited by a moderator:
kweli ni masikitiko makubwa kumpoteza mwenzetu , poleni familia yake na MUNGU awape wepesi katika kipindi hiki kigumu.
 
R. I. P dotto Mzava aka wajina!!
Wewe umetangilia sisi tupo nyuma yako.
 
Last edited by a moderator:
Confirmed? Kama ndivyo apumzike kwa amani kamanda.. Tuliobaki hatujui lini tamati
 
Lala Salama Dotto, hii ndio njia ya kila mmoja! Sisi tuliobaki tufarijiane kwa maneno haya!...

--------------------------------
[h=1]Ayubu 14[/h]1 Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke Siku zake za kuishi si nyingi, naye hujaa taabu.
2 Yeye huchanua kama vile ua, kisha hukatwa; Hukimbia kama kivuli, wala hakai kamwe.
 
Duh,jmn huyu bro ya kweli hayo? inauma kiukweli kwa mtu unayemfahamu kutokwa ghafla,mwezi huu ni mbaya kwangu,ni mtu wa pili within a week kwa kifo cha bodaboda kinawakuta jamaa zangu.
 
Pikipiki ni janga
tuwe makini na vyombo hivi
poleni sana wafiwa
rip rafiki yangu mzava
 
Nimeishiwa la Kuongea, nimeishiwa la kusema.. Ni vile kutokujuana lakini Ilikuwa ni Ajali mbaya, Ajali Ambayo huwezi kuitazama Mara mbili ikiwa Una Moyo Mwepesi... Kama naona Ulivyokuwa Unarusha Miguu... Nilitamani iwe Picha ya maigzo kumbe ulikuwa mwanajamii mwenzangu? Lala Salama Doto, lala salama mkuu we will always loves u
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom