Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Eeh Mungu wangu!!! Pumzika kwa amani Dotto Mnzava. Mbele yetu nyuma yako.
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo kwenye post ya ladyfurahia click hilo jina la dotto mzava utaingia kwenye profile yake au click hili jina kwenye reply yanguHebu toa wasifu wake, simjui halafu!!! R.I.P Dotto
Wapendwa wana Jf, ni masikitiko makubwa kuwajulisha kifo cha member mwenzetu hapa Jf Dotto Mnzava kilichotokea leo mchana saa 8 baada ya kupata ajari ya Pikipiki maeneo ya Victoria jijini Dar.
Mwili wa marehemu umehifadhiwa ktk hospital ya mwananyamala kusubiri taratibu zitakazofata.
Pumzika kwa amani rafiki yangu Dotto.
amefaliki kwa ajli ya nini?
Ni kweli amefariki nimeshuhudia ajari hapa Victoria karibu na moroco ilikua mida ya saa 8:45 mchana,apumzike kwa amani.
Angekuwa ni muislamu mwenzio usingelete huu ujinga wako hapa wa kujifanya mwanafasihi! Nyie wapuuzi ni wabaguzi sana! Lala salama Bw.Mnzava.= ajali
Inna li Llahi wa Inna Ilayhi Rajiun.
Angekuwa ni muislamu mwenzio usingelete huu ujinga wako hapa wa kujifanya mwanafasihi! Nyie wapuuzi ni wabaguzi sana! Lala salama Bw.Mnzava.
Mbona upo sensitive saana na dini. Ungetambua alichoandika hapo chini huo mdomo ungeufunga. Kaandika maneno ambayo hata waislam wanaambiwa. na hiyo kukosoa li, kwenye msiba watu wanapokea simu. Huu ni ujinga kuwa sensitive na vitu vidogo.Angekuwa ni muislamu mwenzio usingelete huu ujinga wako hapa wa kujifanya mwanafasihi! Nyie wapuuzi ni wabaguzi sana! Lala salama Bw.Mnzava.