TANZIA Mwanachama na mfanyakazi wa JamiiForums, Dotto Mnzava afariki dunia kwa ajali ya pikipiki

TANZIA Mwanachama na mfanyakazi wa JamiiForums, Dotto Mnzava afariki dunia kwa ajali ya pikipiki

Status
Not open for further replies.
...shocking sadness!
...R.I.P. Dotto.
...Gone too soon��
 
Jana nikiwa natokea airport nilipitia barabara ya Mandela road na nilipofika maeneo ya Mabibo Hostel niliona mwili wa mtu ukiwa barabarani ukiwa na hali mbaya sana kwani ulikuwa umesagwa sagwa na malori mawili yaliyokuwa na mizigo.

Kwa kifupi...yule mtu aliyefia pale barabarani alikuwa kama chapati kwa jinsi alivyosagwa na malori hayo ambayo inasemekana yalimpitia marehemu huyo kwa juu na kuanza kumburuza...lori la kwanza lilianza na lingine likafuatia.

Ni tukio baya kuwahi kulishuhudia kwa macho yangu katika maisha yangu. Sijui kama hii ajali inamuhusu huyu ndugu Dotto Mnzava ama lah.
 
Mwenyenzi Mungu akujaalie mawaa mazuri uendako ndugu yetu upumzike kwa amani.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom