PreGE2025 Mwanachama wa CHADEMA, Husna: Napigiwa Simu nyingi niende CHAUMMA kiukweli siwezi mimi ni CHADEMA damu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mwanachama wa CHADEMA, Husna Said, amesema amekuwa akipigiwa simu mara kwa mara na watu wanaomtaka ajiunge na chama cha CHAUMMA, lakini amesisitiza kuwa hawezi kuhama kwani yeye ni CHADEMA damu na anabaki kuwa mwaminifu kwa chama hicho anachokiamini.

"Napigiwa simu nashawishiwa nihame Chadema niende CHAUMA..."

Mwanamke mwenye akili zake na misimamo yake. Hakuna anyeenda ccm wala kutangatanga vyama vingine, zaidi ya njaa na mslahi binafsi.

Wanaoenda tuwape muda watarudi kwenye chama chao, baada ya uchaguzi pale hawatopata uongozi wowote, pesa watakuwa wameshazila za wajinga. Life goes on.
 
mawaaazoo-pic.jpg
 
Mwanachama wa CHADEMA, Husna Said, amesema amekuwa akipigiwa simu mara kwa mara na watu wanaomtaka ajiunge na chama cha CHAUMMA, lakini amesisitiza kuwa hawezi kuhama kwani yeye ni CHADEMA damu na anabaki kuwa mwaminifu kwa chama hicho anachokiamini.

"Napigiwa simu nashawishiwa nihame Chadema niende CHAUMA..."

Ushahidi ni jambo muhimu sana
 
Zile bilioni 15 alizoziibua Mange bila shaka ndio zinazotumika kununua mamlulki wa kisiasa.
Nilifadhaika sana... yaani fedha za serikali zinaombwa kama mgao wa fadhila! Mwanzoni nilidhani bunge linahusika kwenye bajeti na matumizi ya fedha!
Baada ya kusoma lile desa la Mange asee moyo unauma ni kwanini serikali inatuibia tozo na kodi!
 
NANI KAMA MAMA? MTASEMA SANA LAKINI HAA HIKI NI CHUMAAAAAAAAAAAAA
Wazazi wengi wamepewa uono wa kiroho kuzitambua mimba ambazo matokeo yake ni hasara na aibu kwa familia,shida ni kutokuwepo uhuru wa kuziharibu hizo mimba ili kisizaliwe kizazi cha hovyo.
Kizazi cha miaka 20 ijayo kitatokana na kizazi hiki kinacho jichekesha hovyo kwa mwandiko na vipicha mtandaoni...
Hasara iliyoje!
 
Kwa wanasiasa sasa hivi ni kama transfer window imefunguliwa...wakipanda dau wewe nenda tu😌
 
Mwanachama wa CHADEMA, Husna Said, amesema amekuwa akipigiwa simu mara kwa mara na watu wanaomtaka ajiunge na chama cha CHAUMMA, lakini amesisitiza kuwa hawezi kuhama kwani yeye ni CHADEMA damu na anabaki kuwa mwaminifu kwa chama hicho anachokiamini.

"Napigiwa simu nashawishiwa nihame Chadema niende CHAUMA..."

Huyu dada ni mpiganaji wa kweli. Watu waheshimu uamuzi wake.

Amandla...
 
Wazazi wengi wamepewa uono wa kiroho kuzitambua mimba ambazo matokeo yake ni hasara na aibu kwa familia,shida ni kutokuwepo uhuru wa kuziharibu hizo mimba ili kisizaliwe kizazi cha hovyo.
Kizazi cha miaka 20 ijayo kitatokana na kizazi hiki kinacho jichekesha hovyo kwa mwandiko na vipicha mtandaoni...
Hasara iliyoje!
Yaani ni kizazi cha hovyo kweli.
Maandishi yake tu yanadhihirisha kuwa hapo hakuna mwanaume/mwanamke halisi.
 
Mtu anajitambulisha kwa majina yake mbele ya camera 😂 huyu hana faida mana hakuna anayemjua
 
Unadhani nchi hii ilikuwa hivi? Huoni hatua za maendeleo tulizopiga?
Hizo hatua unazi-rank kwa base zipi..
Kwa rasilimali zilizopo Tanzania hakuna maendeleo yaliyofanyika zaidi ya wizi kunufaisha wezi na watanzania wengi kuendelea kuwa fukara.
 
Back
Top Bottom