PreGE2025 Mwanachama wa CHADEMA, Husna: Napigiwa Simu nyingi niende CHAUMMA kiukweli siwezi mimi ni CHADEMA damu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Unadhani nchi hii ilikuwa hivi? Huoni hatua za maendeleo tulizopiga?
Utajiri wa Rasilimali tulizonazo hauendani hata kidogo na maendeleo tuliyonayo kwa miaka yote hiyo toka tupate uhuru. Ni resources zipi tumebaki nazo ambazo hawajapewa wazungu na waarabu, unadhani Ndugai alikosea kusema nchi imeuzwa? Alijiuzulu lakini hakuregret alichosema kwa sababu ndo ulikua ukweli wenyewe. Mwenye shibe hamjui mwenye njaa
 
Nchi yetu ina miaka 64 tu. Kwenye njia ya maendeleo hiyo ni miaka Michache sana kwa hatua tulizopiga.
 
Mwanachama wa CHADEMA, Husna Said, amesema amekuwa akipigiwa simu mara kwa mara na watu wanaomtaka ajiunge na chama cha CHAUMMA, lakini amesisitiza kuwa hawezi kuhama kwani yeye ni CHADEMA damu na anabaki kuwa mwaminifu kwa chama hicho anachokiamini.

"Napigiwa simu nashawishiwa nihame Chadema niende CHAUMA..."

Mwanachama wa CHADEMA, Husna Said, amesema amekuwa akipigiwa simu mara kwa mara na watu wanaomtaka ajiunge na chama cha CHAUMMA, lakini amesisitiza kuwa hawezi kuhama kwani yeye ni CHADEMA damu na anabaki kuwa mwaminifu kwa chama hicho anachokiamini.💪🏿✌🏿💗
 
Wanachama wanashawishiwa waende Chaumma kwa kisingizio Cha kupewa ubunge viti maalumu, pia SALUM mwalimu kapewa mamilioni ya fedha Ili kurubuni wanachadema hasa wa mkoa wa pwani na Zanzibar.
 
Mwanachama wa CHADEMA, Husna Said, amesema amekuwa akipigiwa simu mara kwa mara na watu wanaomtaka ajiunge na chama cha CHAUMMA, lakini amesisitiza kuwa hawezi kuhama kwani yeye ni CHADEMA damu na anabaki kuwa mwaminifu kwa chama hicho anachokiamini.

"Napigiwa simu nashawishiwa nihame Chadema niende CHAUMA..."

Kazi ya dalali Mrema
 
Mwanachama wa CHADEMA, Husna Said, amesema amekuwa akipigiwa simu mara kwa mara na watu wanaomtaka ajiunge na chama cha CHAUMMA, lakini amesisitiza kuwa hawezi kuhama kwani yeye ni CHADEMA damu na anabaki kuwa mwaminifu kwa chama hicho anachokiamini.💪🏿✌🏿💗
Amegoma kuuza utu wake
 
Alphonce Mawazo CHADEMA yako inaanguka inaongozwa na wanaharakati
Bila uanaharakati sahau kuiangusha CCM madarakani, sana sana utabakia kuwa chama rafiki mnakaa mezani wanakugawia kura za urais kidogo upate ruzuku, wanakupa wabunge wa majimbo watano sita afu unakenua meno yote 32 kama zuzu.

LIssu ndiyo dawa mpya ya CCM.
 
1747826107338.jpg
 
Mwanachama wa CHADEMA, Husna Said, amesema amekuwa akipigiwa simu mara kwa mara na watu wanaomtaka ajiunge na chama cha CHAUMMA, lakini amesisitiza kuwa hawezi kuhama kwani yeye ni CHADEMA damu na anabaki kuwa mwaminifu kwa chama hicho anachokiamini.

"Napigiwa simu nashawishiwa nihame Chadema niende CHAUMA..."

Huyu mama ana akili
 
Back
Top Bottom