Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
..halafu wachawi hawa ndio wajenge uchumi na utakatishaji huu? watanzania ni watu wa ajabu na wa hovyo kuliko..!Zile bilioni 15 alizoziibua Mange bila shaka ndio zinazotumika kununua mamlulki wa kisiasa.
Ushahidi ni jambo muhimu sanaMwanachama wa CHADEMA, Husna Said, amesema amekuwa akipigiwa simu mara kwa mara na watu wanaomtaka ajiunge na chama cha CHAUMMA, lakini amesisitiza kuwa hawezi kuhama kwani yeye ni CHADEMA damu na anabaki kuwa mwaminifu kwa chama hicho anachokiamini.
"Napigiwa simu nashawishiwa nihame Chadema niende CHAUMA..."
Alphonce Mawazo CHADEMA yako inaanguka inaongozwa na wanaharakati
Unadhani nchi hii ilikuwa hivi? Huoni hatua za maendeleo tulizopiga?..halafu wachawi hawa ndio wajenge uchumi na utakatishaji huu? watanzania ni watu wa ajabu na wa hovyo kuliko..!
Mwambie Dikteta wako aache kuchezea fedha zetu za kodi.Alphonce Mawazo CHADEMA yako inaanguka inaongozwa na wanaharakati
Nilifadhaika sana... yaani fedha za serikali zinaombwa kama mgao wa fadhila! Mwanzoni nilidhani bunge linahusika kwenye bajeti na matumizi ya fedha!Zile bilioni 15 alizoziibua Mange bila shaka ndio zinazotumika kununua mamlulki wa kisiasa.
NANI KAMA MAMA? MTASEMA SANA LAKINI HAA HIKI NI CHUMAAAAAAAAAAAAAMwambie Dikteta wako aache kuchezea fedha zetu za kodi.
View attachment 3340829
Wazazi wengi wamepewa uono wa kiroho kuzitambua mimba ambazo matokeo yake ni hasara na aibu kwa familia,shida ni kutokuwepo uhuru wa kuziharibu hizo mimba ili kisizaliwe kizazi cha hovyo.NANI KAMA MAMA? MTASEMA SANA LAKINI HAA HIKI NI CHUMAAAAAAAAAAAAA
Huyu dada ni mpiganaji wa kweli. Watu waheshimu uamuzi wake.Mwanachama wa CHADEMA, Husna Said, amesema amekuwa akipigiwa simu mara kwa mara na watu wanaomtaka ajiunge na chama cha CHAUMMA, lakini amesisitiza kuwa hawezi kuhama kwani yeye ni CHADEMA damu na anabaki kuwa mwaminifu kwa chama hicho anachokiamini.
"Napigiwa simu nashawishiwa nihame Chadema niende CHAUMA..."
Yaani ni kizazi cha hovyo kweli.Wazazi wengi wamepewa uono wa kiroho kuzitambua mimba ambazo matokeo yake ni hasara na aibu kwa familia,shida ni kutokuwepo uhuru wa kuziharibu hizo mimba ili kisizaliwe kizazi cha hovyo.
Kizazi cha miaka 20 ijayo kitatokana na kizazi hiki kinacho jichekesha hovyo kwa mwandiko na vipicha mtandaoni...
Hasara iliyoje!
Hizo hatua unazi-rank kwa base zipi..Unadhani nchi hii ilikuwa hivi? Huoni hatua za maendeleo tulizopiga?