Makongodcrue
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,864
- 2,591
Utajiri wa Rasilimali tulizonazo hauendani hata kidogo na maendeleo tuliyonayo kwa miaka yote hiyo toka tupate uhuru. Ni resources zipi tumebaki nazo ambazo hawajapewa wazungu na waarabu, unadhani Ndugai alikosea kusema nchi imeuzwa? Alijiuzulu lakini hakuregret alichosema kwa sababu ndo ulikua ukweli wenyewe. Mwenye shibe hamjui mwenye njaaUnadhani nchi hii ilikuwa hivi? Huoni hatua za maendeleo tulizopiga?
..kutii dhamira yako inavyotaka ni bora na ina thamani kubwa kuliko kutii matamanio ya pesa na cheo kwa muda mfupi!Sawa,baki dada
Nchi yetu ina miaka 64 tu. Kwenye njia ya maendeleo hiyo ni miaka Michache sana kwa hatua tulizopiga.Utajiri wa Rasilimali tulizonazo hauendani hata kidogo na maendeleo tuliyonayo kwa miaka yote hiyo toka tupate uhuru. Ni resources zipi tumebaki nazo ambazo hawajapewa wazungu na waarabu, unadhani Ndugai alikosea kusema nchi imeuzwa? Alijiuzulu lakini hakuregret alichosema kwa sababu ndo ulikua ukweli wenyewe. Mwenye shibe hamjui mwenye njaa
Mwanachama wa CHADEMA, Husna Said, amesema amekuwa akipigiwa simu mara kwa mara na watu wanaomtaka ajiunge na chama cha CHAUMMA, lakini amesisitiza kuwa hawezi kuhama kwani yeye ni CHADEMA damu na anabaki kuwa mwaminifu kwa chama hicho anachokiamini.๐ช๐ฟโ๐ฟ๐Mwanachama wa CHADEMA, Husna Said, amesema amekuwa akipigiwa simu mara kwa mara na watu wanaomtaka ajiunge na chama cha CHAUMMA, lakini amesisitiza kuwa hawezi kuhama kwani yeye ni CHADEMA damu na anabaki kuwa mwaminifu kwa chama hicho anachokiamini.
"Napigiwa simu nashawishiwa nihame Chadema niende CHAUMA..."
Wanachama wanashawishiwa waende Chaumma kwa kisingizio Cha kupewa ubunge viti maalumu, pia SALUM mwalimu kapewa mamilioni ya fedha Ili kurubuni wanachadema hasa wa mkoa wa pwani na Zanzibar.Mwanachama wa CHADEMA, Husna Said, amesema amekuwa akipigiwa simu mara kwa mara na watu wanaomtaka ajiunge na chama cha CHAUMMA, lakini amesisitiza kuwa hawezi kuhama kwani yeye ni CHADEMA damu na anabaki kuwa mwaminifu kwa chama hicho anachokiamini.
"Napigiwa simu nashawishiwa nihame Chadema niende CHAUMA..."
Kazi ya dalali MremaMwanachama wa CHADEMA, Husna Said, amesema amekuwa akipigiwa simu mara kwa mara na watu wanaomtaka ajiunge na chama cha CHAUMMA, lakini amesisitiza kuwa hawezi kuhama kwani yeye ni CHADEMA damu na anabaki kuwa mwaminifu kwa chama hicho anachokiamini.
"Napigiwa simu nashawishiwa nihame Chadema niende CHAUMA..."
Amegoma kuuza utu wakeMwanachama wa CHADEMA, Husna Said, amesema amekuwa akipigiwa simu mara kwa mara na watu wanaomtaka ajiunge na chama cha CHAUMMA, lakini amesisitiza kuwa hawezi kuhama kwani yeye ni CHADEMA damu na anabaki kuwa mwaminifu kwa chama hicho anachokiamini.๐ช๐ฟโ๐ฟ๐
Bila uanaharakati sahau kuiangusha CCM madarakani, sana sana utabakia kuwa chama rafiki mnakaa mezani wanakugawia kura za urais kidogo upate ruzuku, wanakupa wabunge wa majimbo watano sita afu unakenua meno yote 32 kama zuzu.Alphonce Mawazo CHADEMA yako inaanguka inaongozwa na wanaharakati
Dalali mkuu Mrema kavuta ma bii afu yeye anawagawia wenzake laki moja moja dhambi nyie.Kazi ya dalali Mrema
Jamaa ana akili sn baadae ataingia CCM rasmiDalali mkuu Mrema kavuta ma bii afu yeye anawagawia wenzake laki moja moja dhambi nyie.
Huyu mama ana akiliMwanachama wa CHADEMA, Husna Said, amesema amekuwa akipigiwa simu mara kwa mara na watu wanaomtaka ajiunge na chama cha CHAUMMA, lakini amesisitiza kuwa hawezi kuhama kwani yeye ni CHADEMA damu na anabaki kuwa mwaminifu kwa chama hicho anachokiamini.
"Napigiwa simu nashawishiwa nihame Chadema niende CHAUMA..."
Hii anapashwa kukumbushwa Kashetu kila mara, ASISAHAU.