TANZIA Mwanachama wa JamiiForums (kutoka JF Arusha Wing), Easymutant afariki dunia

Innalillahi wainna ilayhi rajiuun!
[emoji2817][emoji2817][emoji2817]
 
Ni ajali ya namna gani imelikumba hili gari[emoji21][emoji21][emoji21][emoji21]
 
May his gentle soul rest in eternal peace. Hizi ajali aisee, hata ukisema uwe mwangalifu jamaa wengine wako rough wanakubutua. Alafu mara nyingi mtu ukishakaa kwenye usukani uoga unapotea unakanyaga tu accelerator! May his soul once again find ever lasting peace in heaven.
 
Poleni wafiwa.
Poleni jf.
Nikisikia ajali mwili huwa unanisisimka sana.
Then ninasahau kwa muda mfupi sana [emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…