TANZIA Mwanachama wa JamiiForums (kutoka JF Arusha Wing), Easymutant afariki dunia

TANZIA Mwanachama wa JamiiForums (kutoka JF Arusha Wing), Easymutant afariki dunia

Poleni mabest zangu wa Arusha Wing...
....gone so soon brother-ulikuwa MTU mwema sana
oohh poleni
Raha ya milele umpe eh Bwana na Mwanga wa Milele umwangazie apumzike kwa amani. Amina
Raha ya milele umpe eeh bwana .... Na mwanga wa milele umwangazie ..... Apumzike kwa amani ..... Amina
Tunasikitika mnooooo........akiwa kama rafiki yetu wa karibu.......tunaumia sana kumpoteza.......
Hiyo siku alikuwa anachati hadi saa nne ya usiku.
Kifo hiki kimenitoa machozi sana ila kwa sababu maamuzi ya Mungu hayana kupinda itoshe kusema tangulia mbele ya haki.

Bwana Ametoa Bwana Ametwaa.
Mungu muumba wa mbigu na Dunia, mpe rafiki yangu pumziko la milele katika shamba la Bwana, Apumzike kwa amani baada ya mateso na taabu ya ulimwengu huu ambapo sisi ni wachafuzi kila kukicha Bwana wetu[emoji1317]
Gone too soon.. [emoji24] [emoji24] [emoji24] Rest in Peace.....

Dah....Rafiki umetuweza mnooooooo.....
 
R.i.p marehemu.
Ninachostaajabu ni kitendo cha mleta mada kuielewa id ya member mwingine!
Ina maana watu humu wanafahamiana pamoja na mafekelo ids?
Hili limekaaje mleta uzi?


Ndiyo,tulikofikia ilibidi tujuane kabisa🙏🏻🙏🏻
 
Back
Top Bottom