marejesho
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 6,635
- 3,656
Tunasikitika mnooooo........akiwa kama rafiki yetu wa karibu.......tunaumia sana kumpoteza.......
Mpango wetu wa tarehe 5 jamani....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunasikitika mnooooo........akiwa kama rafiki yetu wa karibu.......tunaumia sana kumpoteza.......
Kifo hiki kimenitoa machozi sana ila kwa sababu maamuzi ya Mungu hayana kupinda itoshe kusema tangulia mbele ya haki.
Bwana Ametoa Bwana Ametwaa.
Apumzike kwa amani MkuuWanaJF,
View attachment 1235230
Taarifa nilizozipata ni kwamba, mwenzetu, Easymutant amefariki dunia usiku wa kuamkia Jana kwa ajali ya gari iliyotokea maeneo ya Sabble Square karibu na uwanja wa ndege wa Kisongo. Msiba upo Olasiti Arusha na updates zaidi nitawaletea hapa.
Poleni sana JF Arusha Wing na Members wore wa JamiiForums kwa ujumla.
Bwana ametoa na Bwana ametwaa, Jina lake lihimidiwe. View attachment 1235020
Hahaa mkuu UNATAKA kudili na bima nn...
Pumzika kwa amani.
Maskini nkionyesha kusikitika
We jamaa bhana
ZAB. :90:12
Basi, utujulishe kuzihesabu siku zetu, Tujipatie moyo wa hekima.
Pole nyingi sana kwa familia, ndugu jamaa na marafiki
Watu hadi tumeoa humu na tuna mashemeji 😅R.i.p marehemu.
Ninachostaajabu ni kitendo cha mleta mada kuielewa id ya member mwingine!
Ina maana watu humu wanafahamiana pamoja na mafekelo ids?
Hili limekaaje mleta uzi?