Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie mwenyewe nimecheka, japo ni msiba, kama hii hapa:Nimecheck profile sasa zile post zake
oohh poleni
Raha ya milele umpe eh Bwana na Mwanga wa Milele umwangazie apumzike kwa amani. Amina
.WanaJF,
Taarifa nilizozipata ni kwamba, mwenzetu, Easymutant amefariki dunia usiku wa kuamkia Jana kwa ajali ya gari iliyotokea maeneo ya Sabble Square karibu na uwanja wa ndege wa Kisongo. Msiba upo Olasiti Arusha na updates zaidi nitawaletea hapa.
Poleni sana JF Arusha Wing na Members wore wa JamiiForums kwa ujumla.
Bwana ametoa na Bwana ametwaa, Jina lake lihimidiwe. View attachment 1235020