RipWanaJF,
Taarifa nilizozipata ni kwamba, mwenzetu, Easymutant amefariki dunia usiku wa kuamkia Jana kwa ajali ya gari iliyotokea maeneo ya Sabble Square karibu na uwanja wa ndege wa Kisongo. Msiba upo Olasiti Arusha na updates zaidi nitawaletea hapa.
Poleni sana JF Arusha Wing na Members wore wa JamiiForums kwa ujumla.
Bwana ametoa na Bwana ametwaa, Jina lake lihimidiwe. View attachment 1235020
Tunasikitika mnooooo........akiwa kama rafiki yetu wa karibu.......tunaumia sana kumpoteza.......
RIP mwanamemba mwenzetu.WanaJF,

Katoeemchangoooo hyo rip mwachie molaa...Apumzike kwa amani.
JamiiForums mbona hamtoi "RIP" kwenye huu uzi?!!!
Tunasikitika mnooooo........akiwa kama rafiki yetu wa karibu.......tunaumia sana kumpoteza.......
WanaJF,
Taarifa nilizozipata ni kwamba, mwenzetu, Easymutant amefariki dunia usiku wa kuamkia Jana kwa ajali ya gari iliyotokea maeneo ya Sabble Square karibu na uwanja wa ndege wa Kisongo. Msiba upo Olasiti Arusha na updates zaidi nitawaletea hapa.
Poleni sana JF Arusha Wing na Members wore wa JamiiForums kwa ujumla.
Bwana ametoa na Bwana ametwaa, Jina lake lihimidiwe. View attachment 1235020
Maskini!
Kwani kaburini huwa kunakuwaga na adhabu?
Kumbuka hii ni jamuiko la watuR.i.p marehemu.
Ninachostaajabu ni kitendo cha mleta mada kuielewa id ya member mwingine!
Ina maana watu humu wanafahamiana pamoja na mafekelo ids?
Hili limekaaje mleta uzi?
Hahaa mkuu UNATAKA kudili na bima nn...Duu poleni sana ..
Nimeshindwa kuelewa hilo gari ni aina gani
Tunasikitika mnooooo........akiwa kama rafiki yetu wa karibu.......tunaumia sana kumpoteza.......
Apumzike kwa amani.